Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.69K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Use DALL·E 3 in ChatGPT to Create Images
In this tutorial, learn how to use DALL·E 3 in ChatGPT effectively to create stunning images effortlessly. Unlock the power of AI-driven image generation with step-by-step guidance on unleashing your creativity. Dive into innovative techniques and discover the magic behind DALL·E 3 in ChatGPT. Whether you're an artist, designer, or enthusiast, this guide will elevate your image creation skills to new heights. Watch now and revolutionize your artistic journey with DALL·E 3 in ChatGPT!

#DALLE3
#ChatGPT
#ImageCreation
#AI
#ArtificialIntelligence
#Creativity
#Tutorial
#DigitalArt
#Technology
#Innovation
Apple imezindua aina mpya ya MacBook Air ya inch 13 na inch 15 ambazo zinatumia chip mpya ya M3.

Mabadiliko mapya:

🔘 Inatumia chip mpya ya M3 ambayo ni nzuri katika Graphics kwa GPU kubwa na CPU yake ipo faster zaidi ya chip za Intel. Neural Engine imeboreshwa hivyo ni nzuri katika ku-edit videos, pictures, documents na games.

🔘 Ina uwezo mkubwa katika kazi za Akili Bandia kwa sababu ya chip yake ya M3 na Neural Engine kubwa inayosaidia Machine Learning.

🔘 Ina uwezo wa kuunganishwa na display mbili (mwanzo ilikuwa na limit ya display moja tu); hii model mpya ina uwezo wa kuunganishwa na display ya 6K kwa refresh rate ya 60Hz na display nyingine ya 4K kwa rate ya 60Hz.

🔘 Bei yake imeanza kwa dola 1099$ kwa inch 13 na 1299$ kwa inch 15.

🔘 So far, ni the best kuliko kununua MacBook Pro M1 au M2! Hii bei yake ni ya chini kuliko MacBook Pro lakini inafaa kwa kazi za kawaida na kazi ngumu kama za ku-edit video, graphics na documents.
Kuanzia saa 12 Jioni, watumiaji wa Instagram, Facebook na Threads walikuwa wanashindwa kuingia kwenye akaunti zao kwa sababu ya matatizo makubwa ya kiufundi ambayo yametokea katika mitandao hii ya Meta.

Meta haijasema sababu zozote za matatizo hayo lakini inaonekana ni tatizo ambalo limetokea kwa watumiaji wote duniani. Kuanzia muda wa saa 2 Usiku, watumiaji wengi wameanza kupata huduma za mitandao hii. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1765038361771692113#m
Mwonekano mpya wa iPhone SE 4 ambao umevuja hivi karibuni
🚨 Instagram, Thread na Facebook zina matatizo ya kiufundi!

Asilimia kubwa ya watumiaji wanashindwa kutumia mifumo hii kwa sasa!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mhandisi wa Google amempinga Mkurugenzi wa Google mbele za watu kwa kutumia project ya Mradi wa Nimbus kufanya shughuli za hila.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais wa Volvo alivyowahi kushiriki katika tangazo
🔥1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 GADGETS AND INVENTIONS THAT WILL WORK EVEN IN FULL BLACKOUT
Mind Warehouse ►

1) Victron Energy

+
1.1) ALLPOWERS
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Water and salt water #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #mobile #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu #brokenpads
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) 3D WALL






2) PERI RCS MAX
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

make a simple AM radio!!! Anyone with an Electronics Hobby Can Make radio
I will teach you step by step how to make a ra
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Web Browsing With Custom GPTs
Get ready to embark on an exciting journey into the realm of web browsing with custom GPTs! In this video, we delve deep into the techniques, secrets, and potential of utilizing custom GPTs for an enhanced browsing experience. Join us as we unlock the mysteries and reveal the magic behind web browsing with custom GPTs. Don't miss out on this transformative opportunity! Subscribe now for more insightful content.

#WebBrowsing
#CustomGPTs
#AI
#Technology
#Innovation
#Internet
#DigitalTransformation
#MachineLearning
#ArtificialIntelligence
#TechTrends
Podcast transcripts - Apple imeweka mfumo wa kuona maandishi ya mazungumzo ya Podcasts ili iwe rahisi kufuatilia na kusikiliza podcast. Ni kama lyrics kwenye Apple Music.
(Kwa duniani kote) Apple imeruhusu platforms za games kuweka mfumo wa Streaming. Hii inamaanisha Xbox Cloud Gaming na Nvidia GeForce NOW zinaweza kuwa na official apps kwenye iPad na iPhone.
iPhone zimepata emoji mpya:
⁃ Kipande cha Limao
⁃ Kutingisha kichwa (juu - chini)
⁃ Kutingisha kichwa (kushoto - kulia)
⁃ Ndege aina ya Phoenix
⁃ Uyoga wa kahawia
⁃ Cheni iliyokatika
- Pia emoji za mtu anatembea, zimetoka aina mpya ambazo zinaelekea upande wa kulia