Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
X (Twitter) imeongeza njia ya matangazo ya Video za Wima maarufu kama "TikTok Style Videos” kwa watangazaji wote ulimwenguni, kuwezesha matangazo yanayojaa skrini nzima.

#Video #Ads
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Beekeeper 2024 Movie Review ( in Swahili )
#snashtz #movie #thebeekeeper
The Beekeeper 2024 Movie Review ( in Swahili )
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

If Python was an anime...
Here's what Python would be like if it was an anime.

Become job-ready with Python:


Fol
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Miniature Turbofan engine Airbus A380 Assembly & RUN!
With external engine nacelle, NTR-900 is a self-designed movable v
Apple imetangaza mauzo yake kwa wawekezaji na rippti hizo mpya zinaonyesha faida na mauzo yake ya October mpaka December.

Apple imepata mauzo ya $119.58 bilioni (TZS Tril 301). Mwaka mmoja uliopita, mapato yalikuwa $117.15 bilioni hivyo mauzo yake yamepanda. Kwa upande wa faida imepata faida ya dola Bilioni 33.9 ambayo ni sawa na Bil 85 za kitanzania (Bil 5 za kenya).

Matokeo mengine ni pamoja na faida kubwa kuliko ilivyotarajiwa kwa hisa moja imeingiza faida ya (EPS $2.18), mauzo ya iPhone ($69.70B), huduma ($23.12B), Mac ($7.78B), iPad ($7.02B), na Wearables ($11.95B).

Hii ni robo ya kwanza kuonyesha mauzo kamili ya iPhone 15, Apple Watch Series 9, Apple Watch Ultra 2, na AirPods Pro 2 na pia mauzo ya M3 iMac, 14-inch MacBook Pro, M3 Pro, na M3 Max 14- na 16-inch MacBook Pros.

Ripoti mpya zinaonyesha 13% ya mauzo, imeshuka nchini China pia mauzo ya simu za iPhone yameshuka.

CEO Tim Cook amesema vifaa zaidi ya 2.2 bilioni vya Apple vinatumika duniani na Apple inatarajia ukuaji w...

View original post
Kampuni ya Apple imetangaza kuwa ina zaidi ya vifaa bilioni mbili ambavyo vinatumika kwa sasa duniani. Vifaa hivyo ni pamoja na iPhone, iPads, Macs, na vifaa vyote vya Apple kulingana na ripoti ya mapato ya robo ya kifedha ya kwanza ya mwaka 2024.

Tim Cook, Afisa Mtendaji Mkuu wa Apple, alitangaza furaha yao kwamba idadi ya vifaa vyao vilivyopo sasa imefikia rekodi mpya ya bilioni 2.2, ikifikia kiwango cha juu ya historia ya Apple.

Hii ni ongezeko kutoka vifaa bilioni 2 ilivyokuwa mwezi Januari 2023, hivyo ni sawa na ongezeko la vifaa zaidi ya Milioni 200 kwa mwaka.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya KUTUMIA 15L Silver Crest "AIR FRYER"
#snashtz #silvercrest #airfryer
Jinsi ya KUTUMIA 15L Silver Crest "AIR FRYER"
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Only Real Pros Use THIS In Python #python #programming #coding
Only real pros use this in Python. from typing import NoReturn
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL GADGETS THAT WILL EXCITE YOU
Mind Warehouse ►

1) Konsivy Pro


2) LENSGO Smoke S


3) Napillow


4) RUK
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Apple Vision Pro Review: Tomorrow's Ideas... Today's Tech!
Apple Vision Pro is a glimpse into the future... with today's
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

25 COOL SURVIVAL GADGETS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) Hot Pocket


2) COOZMENT


3) UA-80 Evolution
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Video Insights ChatGPT Plugin tutorial
Unlock the Power of AI in Your Videos with ChatGPT Plugin - A Step-by-Step Tutorial

Welcome to our comprehensive guide on the ChatGPT Plugin for Video Insights! Whether you're a content creator, marketer, or just passionate about video analytics, this tutorial is designed to help you leverage the capabilities of AI to enhance your video content strategy.

🔍 In this tutorial, you'll learn:

How to install the ChatGPT Plugin for Video Insights.
Navigating the interface for maximum efficiency.
Customizing the ChatGPT settings for tailored insights.
Practical tips for analyzing your video data with AI.
Strategies to apply insights for content optimization.

🚀 Why ChatGPT Plugin?

Advanced Analytics: Dive deep into your video performance with AI-powered analytics.

User Engagement: Understand viewer behavior to increase engagemen...
🆕 Mfumo wa Virtual Display ambao upo katika Vision Pro za Apple, utakuwa unaweza kufanya kazi katika Macs ambazo zinatumia chip za Intel.

🔘 Lakini haitazidi 3K Resolution
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make powerful inverter 3500W , sine wave ,mosfet 40n60
Learn how to make a powerful 3500W inverter with a pure si