Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Using Apple Vision Pro: What It’s Actually Like!
Everything you need to know about using Apple Vision Pro

Vision Pro Un
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Infinix Smart 7 HD X6516 Hard Reset New Method!!
Infinix Smart 7 HD X6516 Hard Reset & Frp Bypass Without Pc - Activity
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Oppo A15 Hard Reset Forgot Password Oppo Cph2185 Password Unlock Done Remotely!!
Oppo A15 Hard Reset Forgot Password | O
Google imefungua eneo lake la kwanza la Google Cloud barani Afrika, katika Jiji la Johannesburg, Afrika Kusini.

#GoogleCloud #Afrika
🆕 Mfumo mpya wa Circle to Search inaanza kupatikana katika simu za Pixel 8 na Pixel 8 Pro
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How To Install Python in 2024 (Latest Version)
In this video I will be showing you how you can download the latest versi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kutengeza program ya kusearch Google kwa lugha C |#vscode
Jinsi ya kutengeza program ya kusearch Google kwa lug
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) D THRONE S


2) Tesla Model S by Rad
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Wolfram ChatGPT Plugin tutorial
🚀 Unlock the power of Wolfram Language in ChatGPT with our comprehensive tutorial! 🚀

In this step-by-step guide, we'll walk you through the exciting integration of the Wolfram ChatGPT Plugin. Whether you're a seasoned developer or a curious enthusiast, this tutorial is designed to enhance your computational capabilities and streamline your workflow.

🔍 What You'll Learn:

How to install the Wolfram ChatGPT Plugin seamlessly.
Tips and tricks to maximize the plugin's potential.
Real-world examples of the plugin in action.

🔑 Key Features Explored:

Custom function creation with Wolfram Language.
Advanced data analysis and visualization techniques.
Automating tasks within ChatGPT using Wolfram's powerful tools.

🛠️ Prerequisites:

Basic understanding of ChatGPT and Wolfram Language.
Wolfram Engine installed on your system (link to ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SGPT None partition found UnlockTool Reading Partition info Fail Fixed 2024
Reading Partition Info ...Fail SGPT: none pa
🆕 Instagram imeanza kufanya majaribio ya kuweka sehemu maalum ambayo itakuwa na post ambazo zitaonekana kwa marafiki wako wa karibu tu (Close Friends).

Sehemu hii mpya itakuwa inaitwa “Flipside” na itakuwa inajificha kwenye profile yako na mtu ataweza kuitazama aki-swipe up; na ataona alama mpya ya funguo kwenye profile endapo kama ana ruhusa yako (umemuweka kwenye list ya marafiki zako wa karibu).

Utaweza kuchagua watu ambao watakuwa wanaona post zako. Ukiweka rafiki yako katika kundi la “Close Friend” atakuwa na uwezo wa kuona picha/post ambazo watu wengine hawataweza kuziona.

Instagram imethibitisha kuwa itaweka mabadiliko haya mwaka huu kwa watumiaji wote! Kwa sasa imeanza kama majaribio kwa baadhi ya watumiaji.
🆕 TikTok inajaribu kushindana na YouTube kwa kuruhusu video zenye urefu wa hadi dakika 30 ndani ya platform ya TikTok.

Awali, TikTok ilikuwa maarufu kwa video fupi za potrait, lakini sasa inalenga muundo wa kawaida kama YouTube.

Pia, TikTok imesema video za landscape ambazo zina urefu wa dakika 1 zitaanza kupata boost ya kuvuma mtandaoni ndani ya masaa 72 baada ya kuipost.