This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 YouTube imeweka njia rahisi ya kubadilisha video zako kuwa Shorts.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
How to Unlock FRP on TECNO Pop 7 Bypass Google Account Verification Remove FRP
#google #frp #googleplay #tecnopop 7
Tecn

🆕 Katika ripoti mpya, kampuni ya Transsion ( ambayo inazimiliki Tecno, itel, Infinix, Oraimo, Scooper, Syinix na Carlcare) imeitoa kampuni ya Vivo katika Top 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1747309574497894764#m
Apple imeshika nafasi ya kwanza ya kuwa mtengenezaji mkubwa wa simu za mkononi duniani mwaka 2023, kulingana na data ya awali kutoka kampuni ya utafiti wa masoko ya IDC.
Hii ni mara ya kwanza kwa Samsung kupoteza nafasi ya juu kwa kampuni nyingine katika miaka 13. Ripoti inaonyesha kuwa mwaka 2023 Apple ilichukua asilimia 20.1% ya soko, huku Samsung ikiwa na asilimia 19.4%.
Apple ndiyo pekee kati ya kampuni tatu za juu zenye ukuaji mzuri kwa mwaka, ikiongeza usafirishaji kutoka idadi ya simu milioni 226.3 hadi milioni 234.6. Hii inatokea licha ya changamoto za kisheria na ushindani kutoka kwa Huawei nchini China.
Kushuka kwa Samsung kunachukuliwa kama matokeo ya mauzo mazuri ya iPhone 14 na iPhone 15, pamoja na ushindani katika soko la Android kwa kurudi kwa Huawei nchini China.

Smartphone + xbox controller + smart TV = Playstation or xbox Powered by @PHONE POINT DAR
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ASANTENI SANA KWA FOLLOWERS LAKI 2 NDANI YA MIEZI 7 PEKEE 🙏🙏🙏 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania #tiktokkenya #tech #grow #phone #androidtips #iphone #phonetricks
Apple Imesimamisha Rekodi Ya Samsung Ya Miaka 12 Kama Muuzaji Namba Moja Wa Simu Nyingi!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph

Kwa miaka kadha wa kadha Samsung wao waliokua wanaongoza katika orodha ya mauzo ya simu janja nyingi huku Apple wakifuatia katika orodha. Mchuano ni mkali sana kwa sababu kwa mwaka makampuni yote mawili hutoa simu janja ambazo zina sifa za aina yake na hakika…
InstantView from Source
Telegraph
Kampuni Yenye Thamani Kubwa Duniani Sio Apple Tena Ni Microsoft!
Sio Apple na Microsoft tuu, makampuni mengi ya kiteknolojia huwa yanafanya vizuri sana katika orodha za makampuni yanayofanya vizuri duniani katika orodha ya thamani. Microsoft yenyewe kwa sasa imefikia thamani ya dola za kimarekani trilioni 2.89 huku Apple…
InstantView from Source
Telegraph
Apple Imesimamisha Rekodi Ya Samsung Ya Miaka 12 Kama Muuzaji Namba Moja Wa Simu Nyingi!
Kwa miaka kadha wa kadha Samsung wao waliokua wanaongoza katika orodha ya mauzo ya simu janja nyingi huku Apple wakifuatia katika orodha. Mchuano ni mkali sana kwa sababu kwa mwaka makampuni yote mawili hutoa simu janja ambazo zina sifa za aina yake na hakika…
InstantView from Source
Telegraph
Apple Imesimamisha Rekodi Ya Samsung Ya Miaka 12 Kama Muuzaji Namba Moja Wa Simu Nyingi!
Kwa miaka kadha wa kadha Samsung wao waliokua wanaongoza katika orodha ya mauzo ya simu janja nyingi huku Apple wakifuatia katika orodha. Mchuano ni mkali sana kwa sababu kwa mwaka makampuni yote mawili hutoa simu janja ambazo zina sifa za aina yake na hakika…
⚖️ Mahakama Kuu imekataa kusikiliza rufaa ya Apple na Epic Games kuhusu ushindani kwenye Duka la Programu.
🔘 Uamuzi huo unaruhusu developers kuelekeza wateja kwenye tovuti zao, na itapelekea kupunguza "kodi ya Apple."
🔘 CEO wa Epic Games, Tim Sweeney, asema "mapambano yanaendelea."
🔘 Hii ni hatua kubwa ya kuruhusu developers kuwa na uhuru wa kupata option mbalimbali za kuwezesha watumiaji kulipia huduma mbalimbali bila kulazimika kutumia mfumo wa malipo wa Apple.

❤1