Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Huyu ndie mwamba na mastermind wa teknolojia mpya ya kutengeneza chip bora za China ambazo zinashindana na Intel, TSMC, na Samsung.

Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m
πŸ†• Kampuni ya SMIC ambayo ni kampuni kubwa ya kiteknolojia ya China imeanza kuunda chip za 3nm Process!

πŸ”˜ Marekani iliinyima China teknolojia ya EUV ambayo inaunda chip zenye ubora zaidi ya teknolojia ya DUV kwa kuwa EUV ina uwezo mzuri wa kubananisha transistors ndogo sana na katika idadi kubwa kwenye chip hivyo kupelekea chip kuwa na ubora na uwezo mkubwa zaidi.

πŸ”˜ Mwaka huu China iliishangaza dunia baada ya Huawei kutoa simu ambayo inatumia chip ya 7nm ambayo ina kiwango cha toleo la pili la 7nm ambayo ni bora kuliko 7nm ya Samsung.

πŸ”˜ Wataalam wa teknolojia walitabiri China inaweza kutengeneza chip za 5nm kwa DUV lakini mwezi huu Jarida kubwa la Nikkei Assia limethibitisha China inaelekea katika 3nm kwa kutumia DUV. Kitu ambacho kitashangaza sana wengi kwa sababu hakuna anayefahamu wala kutegemea mashine za DUV zinaweza kuunda chip za 3nm ambazo zina transistors nyingi zaidi.

Habari hii ni kubwa kwa sababu itakuza soko la chip za China kuwa kubwa na kujitegemea katika teknolojia na kukuza ushindani.
πŸ‘1
Huyu ndio mwamba na mastermind wa teknolojia mpya ya kutengeneza chip bora za China ambazo zinashindana na Intel, TSMC, na Samsung.

Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Google Bard vs ChatGPT
πŸ” Dive into the ultimate AI showdown: Google Bard vs ChatGPT! πŸ€–πŸ’₯

In this in-depth comparison, we pit two of the most talked-about AI language models against each other. Google Bard, with its integration into the vast ecosystem of Google, and ChatGPT, known for its conversational prowess and OpenAI's cutting-edge technology. Who will come out on top?

πŸ‘‰ What you'll learn in this video:

The origins and development of Google Bard and Ch...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Chat gpt inamjua mpaka miso misondo🀣🀣🀣🀣#misomisondo#chatgpt#hapynewyear #2024#trendings #tiktoktanzania #foryoupage #tehamaonline #graphicsdesigning #programming
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

All in One| Jinsi ya kutuma Text kwenda kwenye Computer
All in One| Jinsi ya kutuma Text kwenda kwenye Computer
--------
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Making Classes Sortable & Comparable In Python
In this tutorial we will be learning how we can make our Python classes b
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

25 COOL TOOLS YOU DIDN'T KNOW ABOUT
Mind Warehouse β–Ί

1) Roberts Knee Kicker



2) Fiskars WoodXpert




3) SKIL
πŸ†• Samsung imezindua app yake ya β€˜SamsungPhone’ kwa watumiaji wa Windows.

πŸ”˜ Watumiaji wa simu za Samsung wataweza kupiga na kupokea simu kwa kutumia kompyuta
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jifunze coding lugha C { 10 } |#nk
Jifunze coding lugha C { 10 } |#nk

-----
- Channel yetu mpya ya Shorts:
- NK on TI
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

15 HUNTING GADGETS THAT YOU CAN BUY ON AMAZON
Mind Warehouse β–Ί

1) Wrangler Camo Hunting Blind


2) FOXPRO Fire Eye
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

ChatGPT for Product Management
Unlock the potential of AI in your product management process with ChatGPT! πŸš€

In this insightful video, we delve into the transformative role of ChatGPT in the realm of product management. Discover how this cutting-edge language model can streamline workflows, enhance decision-making, and foster innovation in product development.

What you'll learn:

How ChatGPT can be integrated into product management tools
Real-world applications of ChatGPT for market analysis and customer feedback
Strategies for leveraging ChatGPT to improve product roadmaps and feature prioritization
Whether you're a seasoned product manager or just starting out, this video is packed with valuable insights on harnessing the power of AI to elevate your products. Don't miss out on the opportunity to stay ahead in the competitive market with ChatGPT.

πŸ”” Subscribe for more insights on AI applications in business an...