WhatsApp: Zima Kuita Kwa Sauti Kwa Namba Zisizojulikana, Ukipigiwa Simu (WhatsApp Call)!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
WhatsApp: Zima Kuita Kwa Sauti Kwa Namba Zisizojulikana, Ukipigiwa Simu (WhatsApp Call)!
Kwa sasa WhatsApp wanakuja na kipengele kipya ambacho kinajikita zaidi katika swala zima la ulinzi na usalama ndani ya App hiyo hususani katika eneo la kupigiwa simu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Fahamu Programu Mashuhuri za Adobe.
Adobe Suite ni mjumuisho wa programu kadhaa za kazi za kiubunifu zinazotumika zaidi duniani kote katika sekta ya ubunifu.
Zifahamu baadhi ya programu maarufu zaidi kwenye familia ya Adobe Suit.

Apple TV Waweka Sehemu Yote Ya Kwanza Ya Onesho La SILO Katika Mtandao Wa Twitter,Hii Hapa Ni Jinsi Ya Kutazama!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Apple TV Waweka Sehemu Yote Ya Kwanza Ya Onesho La SILO Katika Mtandao Wa Twitter,Hii Hapa Ni Jinsi Ya Kutazama!
Unesho hili linafikikia ukingoni kwa upande wa toleo la kwanza na Apple TV wameona kwamba watoe sehemu ya kwanza tuu katika mtandao wa Twitter. Kwa makampuni makubwa hivi huwa hawafanyagi vitu kama hivi bila kuwa na sababu ya msingi ambayo itakua na manufaa…
Ubunifu: Siti za Ndege za Ghorofa, zawavutia baadhi na kuibua maswali kwa wengine
InstantView from Source
InstantView from Source
App ya Threads, mshindani wa Twitter kuanza kupatikana wikiendi hii. #Instagram
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
App ya Threads, mshindani wa Twitter kuanza kupatikana wikiendi hii. #Instagram
Mwezi wa Julai haujaanza vizuri kwa tajiri Elon Musk, amefanya maamuzi kadhaa ya ghafla kwenye mtandao wa Twitter yaliyosababisha watumiaji wengi kuanza kuangalia app zingine, huku app kama Truth Social ikipata maelfu ya watumiaji ndani ya muda mfupi kiasi…
Sasa Unaweza Kubaini Miziki Youtube, TikTok Na Instagram Kupitia Shazam Kwa iOS!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Sasa Unaweza Kubaini Miziki Youtube, TikTok Na Instagram Kupitia Shazam Kwa iOS!
Ni mara ngapi umeshawai kusikia mziki unapigwa lakini hujui nani kauimba na hata pengine mashairi yake huyajui vizuri? Shazam inaweza kuwa ni mkombozi wako katika hili. Shazam ilinunuliwa na Apple na kwa sasa Apple yenyewe imetoa taarifa kwamba itatoa sasisho…