Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.76K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
bongotech255 - Karibu asilimia 52% ya Watumiaji wa simu za...
bongotech255 - Home | Facebook

Karibu asilimia 52% ya Watumiaji wa simu za mkononi (smartphone + Simu za kawaida) Wameathilika na ugonjwa wa kupenda sana Simu. Najua wewe ni mmoja wapo ?

Leo nakuletea baadhi ya ishara ya kujijua kama una ugonjwa wa kupenda sana Simu !! 🔺 Kushika Simu yako masaa 24 /7 MTU mwenye ugonjwa wa kupenda Simu Huwa hawezi kuacha kushika Simu masaa mengi utamkuta ana Simu ameishika ata kama atumi ivyo ikiwa mbali TU ana wasiwasi. 🔺 Kuwa na wasiwasi wa kuibiwa au kupoteza Simu MTU anakua na wasiwasi kiasi ya kwamba simu yake ikiwa mbali tu wacha aanze kuitafuta tafuta kama kaibiwa au kaangusha 🔺 Tabia ya kutizama sana Simu Yako ukit...

View original post
bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook

watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.

Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la M...

View original post
bongotech255 - Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana...

bongotech255 - Home | Facebook

Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana teknolojia ya #bongotech255 mubalikiwe sana kwa kuendelea kutufuatilia kupitia mitandao Yetu mbalimbali ya kijamii. Sasa tunapatikana Twitter karibuni sana kule kutakua na thread za kikubwa zaidi karibuni sana tuweze kujifunza teknolijia kwa pamoja Tunatumia jina la #bongotech255 link iko kwenye insta story Yetu gusa sasa tukajifunze vitu vya kikubwa😄 zaidi Naimani 😊tunajitahidi kuwajuza Yale tunayoyajua au Wana familia mnasemaje !! #bongotech255 #twitterquotes #twitter #swahilitech #bongo #tanzania #teknolojia
bongotech255 - Home | Facebook

watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.

Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako.

Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? … See more

Mi natumia Tecno spark 4 sawa kwenye storage ndo ivyo na chaji aikai sana toka niichukue make battery lake ni dogo 4000Mh ila kwenye camera tu ndicho kilicho nifanya nisiiuze kwa maana nilinunuaga Tecno spark 8 ila camera yake ikawa chenga nikaiuza ila… See more
bongotech255 - Google wameleta njia rahisi ya kuweza...
bongotech255 - Home | Facebook

Google wameleta njia rahisi ya kuweza kuhamisha vitu Toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta au kutoka kwenye kompyuta kwenda kwenye simu.

Feature hii iliachiwa toka mwaka 2022 ila Sasa inapatikana kwenye simu za android unaweza kuipakua Toka soko la play store. Ili kutumia nearby share app hakikisha kompyuta yako ina support window yenye version ya bit 64 na kuendelea wala haiendeshwi na ARM processor. Inafanyaje kazi 👇 • hakikisha kompyuta yako wifi pamoja na Bluetooth ziko On ili kuweza kutumia hii feature. • utachagua nani haweze kuona kifaa chako pamoja na kutuma ma file kwa kuchagua kifaa Unachokiona kupitia iyo app. • pia unawez...

View original post
bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook

watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.

Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la M...

View original post
bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook

watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.

Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la...

View original post