Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Moja kati ya jambo zuri Kwa watumiaji wa...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya jambo zuri Kwa watumiaji wa simu za Android ni uwezo wa kupakua emalutor mbalimbali na kucheza game kwa mfumo wa pad kupitia simu.

Watu wengi waliku wana enjoy kupitia hii njia lakini sasa Kuna taarifa nzuri zaidi kuwa simu yako itaweza kupokea game za playstation na kucheza. Program ya vita3k itaanza kupatikana rasmi jumapili, utaweza Kuinstall kwenye simu yako baada ya hapo utaweza kucheza game za playstation Vita. Developer macdu amesema program Yao ya vita3k haitopatikana kwenye soko la playstore isipokuwa kupitia tovuti ya discord channel utaweza kuipata iyo app pamoja na update zake. Ila hakikisha simu yako imekidh...

View original post
bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook

watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.

Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la...

View original post
Update je browser
InstantView from Source
حقوق النشر محفوظة Meta © ‏2023‏
InstantView from Source
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako

subscribe for more videos 👇👇 our new channel

https://youtube.com/@bongotech255_

Old got suspended 😔

#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255
Update je browser
InstantView from Source
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @download_it_bot

Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako

subscribe for more videos 👇👇 our new channel

https://youtube.com/@bongotech255_

Old got suspended 😔

#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255