Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Watumiaji wengi wa simu za Samsung Galaxy...
bongotech255 - Home | Facebook

Watumiaji wengi wa simu za Samsung Galaxy wamekua wakisumbuliwa na tatizo la simu zao kuingiza chaji au wakati mwingine inapeleka Mdogo Mdogo.

Unajikuta unatumia Muda mwingi kuchaji simu kuliko kuitumia kabla haijafa mikononi mwako Leo nakuambia jinsi kuondokana na tatizo la simu kushindwa kupeleka chaji ? 👇 1) ondoa Kava Kuna baadhi ya makava usababisha simu kutopeleka chaji vizuri haswa yale ambayo sio original upelekea USB kushindwa kupita vizuri kwa ajili ya kupitisha chaji kwenye simu we ondoa Kava la simu yako. 2) subiria kwa dakika kadhaa Labda umetumia simu imebaki chaji kidogo Sana unataka kuchaji haitaki we fanya kuipumzi...

View original post
👍1