bongotech255 - Home | Facebook
Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa.
Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za Android ufanya wakati wanatumia upelekea simu zao kukosa ufanisi pamoja utendaji wake wa kazi kupotea.
kupakua program kutoka sehemu ambazo sio salama… See more

India Kupiga Marufuku Baadhi Ya App Za Kubeti Na App Za Kutoa Mikopo Kutoka China!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
India Kupiga Marufuku Baadhi Ya App Za Kubeti Na App Za Kutoa Mikopo Kutoka China!
Japokua wako mstari wa mbele na china lakini ni wazi kwamba wanaziangalia nchi nyingine kubwa kubwa katika bara hilo la asia, App watakazokua na mashaka nazo jambo hili litazikumba.
bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook
watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.
Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la M...
View original post