Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli šŸ‘‹
Download Telegram
Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio
InstantView from Source
bongotech255 - Tanzania ni Moja wapo ya nchi yenye watu...
bongotech255 - Home | Facebook

Tanzania ni Moja wapo ya nchi yenye watu wengi wenye vipato vya chini, maisha ya watu wengi ni ya kawaida sana kumekua na changamoto ya familia nyingi kutokuwa na mahitaji muhimu kama maji , chakula na mavazi.

Jambo linalopelekea wazazi wengi kushindwa hata kuwahudumia watoto wao juu ya mahitaji muhimu. Wakati Dunia inapambana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Kuna mtanzania mmoja anaitwa Innocent James akiwa na wenzake wamefanikiwa kutengeneza kiwanda cha @somabagstz chenye kubuni mabegi yenye mfumo wa umeme wa jua ili kuwasaidia Watu wa vijijini kupata mwanga. Mabegi hayo yametengenezwa kwa kutumia takataka mbalimbali kama vile virob...

View original post