Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.

Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ญ๐—˜๐—ฅ๐—ข ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na t...

View original post
bongotech255 - Kumekua na taarifa nyingi za watu kusema...
bongotech255 - Home | Facebook

Kumekua na taarifa nyingi za watu kusema kuhusu hackers wanavyoathili taarifa za watu kwa namna Moja au nyingine.

hackers wamegawanyika Kuna wale Ambao wanakuonyesha madhaifu ya mfumo wako kisha wanakupatia suluhisho ila Kuna wale wengine ambao ufanya mambo ya kuhalibu kabisa taarifa za watu. Ulimwenguni mpaka kufikia mwaka 2018 zaidi ya hackers 166k walikua wanajulikana duniani. Leo nakuletea list lao baadhi ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ ๐—”๐—ป๐—ผ๐—ป๐˜†๐—บ๐—ผ๐˜‚๐˜€ Hiki ni kikundi cha watu ambacho ufanya shughuli za uhalifu mtandaoni wakitambulika kwa jina la unknown hawajulikani. Walianza mwaka 2003 huwalenga sana watumiaji wa games , software au kampuni za Amazo...

View original post
bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.

Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ญ๐—˜๐—ฅ๐—ข ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na...

View original post