Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Kupata FILE ID Tuma file yeyote:
ID Ya file lako ni:
bongotech255 - Imepita wiki kadhaa @apple wameachia Tv...
bongotech255 - Home | Facebook

Imepita wiki kadhaa @apple wameachia Tv yenye uwezo wa 4k ambayo hina mambo mengi ndani yake.

๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ง๐˜ƒ ๐Ÿฐ๐—ธ ni kisanduku kidogo chenye uwezo wa kutumika kama dishi kwenye Tv yako kwa kuunganisha na kuweza kupata vitu mbalimbali kutoka Apple. Kama vile kutizama ๐— ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ,Tv show , Movies , kucheza game pamoja na kutumia app mbalimbali za app store kwenye Tv yako. Cha kushangaza zaidi watu wengi wanajua gharama yake ni kubwa sana ila ni ndogo mno inaanzia dollar ๐Ÿ’ฐ129 mpaka kufikia 200 dollar. Ukinunua utaweza kupata siku saba za bure bada ya hapo utaweza kuanza kulipia kwa kila mwenzi inaanzia dollar 21 mpaka 26 kwa kila m...

View original post
bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.

Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ญ๐—˜๐—ฅ๐—ข ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na t...

View original post
Update je browser
InstantView from Source