Fahamu Programu Mashuhuri za Adobe. — TeknoKona Tanzania
https://youtu.be/JFmM055pmj4 2:36
https://youtu.be/JFmM055pmj4 2:36
YouTube
Fahamu Programu Mashuhuri za Adobe.
Adobe Suite ni mjumuisho wa programu kadhaa za kazi za kiubunifu zinazotumika zaidi duniani kote katika sekta ya ubunifu. Zifahamu baadhi ya programu maarufu...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Fahamu Programu Mashuhuri za Adobe.
Adobe Suite ni mjumuisho wa programu kadhaa za kazi za kiubunifu zinazotumika zaidi duniani kote katika sekta ya ubunifu.
Zifahamu baadhi ya programu maarufu zaidi kwenye familia ya Adobe Suit.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Unajua kuwa iPhone X ni ndogo kuliko iPhone 7Plus lakini iPhone X imeishinda 7plus kwenye ukubwa wa display ? Angalia Video vzuri na usikilize kila kitu 🤝 #simukitaa

Hizi Hapa Apps Nzuri za Android Kwaajili ya Wanafunzi
Ni wazi kuwa Android ni moja kati ya mfumo unaotumiwa na watu wengi zaidi, sababu hii na nyingine nyingi ndio maana leo nimeamua kuleta list hii ya app nzuri za Android kwa ajili ya wanafunzi. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie App hizi. Exam Countdown Lite (Free+, Google Play) → Exam Countdown ni app nzuri […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/apps-nzuri-za-android-kwa-wanafunzi/

Tanzania Tech
Hizi Hapa Apps Nzuri za Android Kwaajili ya Wanafunzi
Kama wewe ni mwanafunzi na unamiliki simu ya Android basi soma hapa kujua apps nzuri za Android kwaajili ya wanafunzi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Ipi ina balaa kwenye upande wa Camera? Hapo nimeshoot usiku unadhani ipi ina balaa kulingana na video? #simukitaa

Futatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii
Kama unapendelea kufuatilia michezo mbalimbali ikiwa pamoja na michezo ya simba na yanga ya hapa Tanzania basi njia hii ni kwaajili yako. Kupitia njia hii itakusaidia kupata taarifa za michezo yote duniani ikiwa pamoja na michezo pendwa ya mpira wa miguu ya simba na yanga ya hapa Tanzania, pia utaweza kufuatilia mpira wa kikapu na […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/angalia-live-mpria-simba-na-yanga/

Fuatilia Mpira Simba na Yanga Kwa Kutumia Njia Hii
Kama unapendelea kufuatilia michezo mbalimbali ikiwa pamoja na michezo ya simba na yanga ya hapa Tanzania basi njia hii ni kwaajili yako.
KWANINI WANAUME TULIACHA KUVAA VIATU VYA KISIGINO? — Newzfid
https://youtu.be/mdEYwTSVwvE 4:53
https://youtu.be/mdEYwTSVwvE 4:53
YouTube
KWANINI WANAUME TULIACHA KUVAA VIATU VYA KISIGINO?
#fashion #HighHeelsVipi nikikwambia kwamba viatu vya kisigino vilitengenezwa kwa ajili ya wanaume tu? katika karne zilizopita, wanaume walivaliaa viatu hivyo...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
KWANINI WANAUME TULIACHA KUVAA VIATU VYA KISIGINO?
#fashion #HighHeels
Vipi nikikwambia kwamba viatu vya kisigino vilitengenezwa kwa ajili ya wanaume tu? katika karne zilizopita, wanaume walivaliaa viatu hivyo bila wasiwasi wowote ule. Tofauti na jinsi viatu hivyo vinavyotumiwa leo na wanawake kama fashion,zamani zile vilivaliwa kwa dhumuni tofauti kabisa.
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Алексей (TikTok)
Предвижу комментарии: дешевле купить новую 😂#лайкниэтовидео #подписка😍 #мастерская #tiktok #рекомендации❤️❤️🤪все #светодиоды #пайка #ремонтэлектроники #реееек #😎😎😎😎 #рек #ремонттелефонов

Series Ya Infinix Hot Kuja na Sifa Hizi Kwa Mara Ya Kwanza
Kampuni ya simu janja ya Infinix ina matoleo mbalimbali yenye kufahamika kama Smart series, HOT series, NOTE series na Zero series, kila series ikipewa nguvu Zaidi katika kategori/feature fulani lakini sasa huenda ikawa ni tofauti kwa simu hii ya Infinix HOT 12. Kwa taarifa za ndani kabisa ni kuwa simu hii inayotarajiwa kuzinduliwa mwanzoni mwa mwezi […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/05/series-ya-infinix-hot-kuja-na-sifa-hizi-kwa-mara-ya-kwanza/

Kampuni ya simu janja ya Infinix ina matoleo mbalimbali yenye kufahamika kama Smart series, HOT series, NOTE series na Zero series, kila series ikipewa nguvu
Jinsi hackers walivyochukua Akaunti za YouTube ya diamond , Rayvany , mbosso mbinu walizotumia !! — Bongotech255
https://youtu.be/8lFXARSvsgM 8:26
https://youtu.be/8lFXARSvsgM 8:26
YouTube
Jinsi hackers walivyochukua Akaunti za YouTube ya diamond , Rayvany , mbosso mbinu walizotumia !!
Unajua hackers Wana mbinu nyingi sana za kudukua taarifa za watu ivyo inakua ngumu kujua kama huko salama ikiwa ujaweka ulinzi imara
Wasanii wengi hawajui kuzilinda akaunti zao ndo maana ni rahisi wao kudukuliwa Leo nimekulezea mbinu wanazotumia kudukua…
Wasanii wengi hawajui kuzilinda akaunti zao ndo maana ni rahisi wao kudukuliwa Leo nimekulezea mbinu wanazotumia kudukua…
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Jinsi hackers walivyochukua Akaunti za YouTube ya diamond , Rayvany , mbosso mbinu walizotumia !!
Unajua hackers Wana mbinu nyingi sana za kudukua taarifa za watu ivyo inakua ngumu kujua kama huko salama ikiwa ujaweka ulinzi imara
Wasanii wengi hawajui kuzilinda akaunti zao ndo maana ni rahisi wao kudukuliwa Leo nimekulezea mbinu wanazotumia kudukua akaunti za watu maarufu au sio maarufu za mitandao ya kijamii
Instagram , Facebook , YouTube nk
Tizama video kamili
Subscribe likes comment na share
Jifunze zaidi kupitia social media 👇
Instagram
Https://www.instagram.com/bongotech255
Telegram
https://t.me/bongoTechs255
YouTube
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA
Teknolojia ni Yetu sote ✊