Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Apps za Kudownload Mafile Makubwa kwa Haraka (Android)

Ni wazi kuwa teknolojia ya simu hasa smartphone inaendelea kukuwa kwa kasi kubwa sana, watu wamekuwa wakifanya kila kitu kwa kutumia smartphone lakini bado kuna baadhi ya mambo ni lazima kutumia kompyuta ili kufanya kwa haraka. Kwa mfano, ni wazi kuwa imekua ni mthiani sana kudownload mafile mbalimbali makubwa kupitia kwenye simu yako ya Android […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kudownload-mafile-kwa-haraka-kwenye-android/
Jinsi ya Kuzuia Simu Yako Kuibiwa Android au iPhone

Ni kweli kwamba tunatumia pesa nyingi sana kuweza kununua simu nzuri za kukidhi mahitaji yetu ya kila siku, lakini wote tunajua kuwa sio wakati wote maisha yana haki, kwani kuna baadhi ya watu ambao wapo kuweza kuturudisha nyuma kwa namna moja ama nyingine. Kuliona hili leo nimekuletea njia za kusaidia kuzuia simu yako ya Android […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kuzuia-simu-kuibiwa/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jifunze Windows 10 kwa njia nyepesi
Jifunze hatua kwa hatua Windows 10, Ibobee windows 10, video hii itakufanya uimarike katika kuitumia Windows 10, tutakupa yote ya msingi kuhusu windows 10 na nini kimezidi katika windows 10 ukilinganisha na windows 7 iliokuwa kabla yake, kwa kuwa windows 10 kwa sasa ndio windo inayotumiwa zaidi katika maofisi na sehemu mbalimbali.

-----------
Kama hujajifunza masomo ya BASIC jisajili hapa bure: https://myurls.co/nk
-----------
Windows 10 Tutorial - 3.5 Hour Windows Guide + Windows 10 Tips
Windows 10 (Beginners Guide)
✔️ Windows 10 for Dummies, Newbies, and other Fine Beginners
Windows 10 Beginners Guide
JIFUNZE KUSHUSHA WINDOWS
JIFUNZE UFUNDI WA COMPUTER
JINSI YA KUPIGA au KUWEKA WINDOWS (Windows Installation) | KOZI YA UFUNDI WA COMPUTER (Maintenance)
JINSI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER/PC/LAPTOP TOSHIBA,/Hp/LENOVO/DELL/ACCER/SAMSUNG
How To Take ...
Tovuti za Kudownload Video za Bure za Kutumia YouTube

Ukweli ni kwamba kwa sasa video ni kila kitu ndio maana kwa sasa karibia kila kampuni inayo channel ya mtandao wa YouTube. Lakini pamoja na hayo ni ukweli usio pingika kuwa sio rahisi hata kidogo kutengeneza video bora ambayo itashindana na mamilioni ya video zinazo pakiwa kila siku kwenye mtandao huo. Lakini, Je unajua kuwa […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/video-bure-za-kutumia-youtube/
Kutengeneza iPhone yako mwenyewe – Apple kuuza vipuri na mafunzo ya matengenezo mbalimbali

Apple kuja kukuruhusu kutengeneza iPhone yako mwenyewe iwapo imeharibika. Uwezo huo umetangazwa na Apple ambapo wamesema wataanza kuuza vipuri mbalimbali kama vile betri, kioo (display) na kamera za iPhone na baadae kuanza kuuza hadi vipuri vya kompyuta za Macbook. Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikiendesha huduma za utengenezaji simu kupitia makubaliano na biashara chache tuu,...

The post Kutengeneza iPhone yako mwenyewe – Apple kuuza vipuri na mafunzo ya matengenezo mbalimbali appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/kutengeneza-iphone-yako-mwenyewe-apple-kuuza-vipuri/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=kutengeneza-iphone-yako-mwenyewe-apple-kuuza-vipuri