Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU THE ROCK (DWAYNE JOHNSON)
#TheRock #Hollywood
The rock, ni staa maarufu sana kwa mazoezi makali na misuli yake, ucheshi wa dizaini yake, utaalame wake katika filamu za action na mwanamielekea wa zamani wa WWE..Mashabiki zake wanamuita mfufuzi wa filamu zilizozeeka. Heck yah, wanadai Fast and Furious ilikuwa imezeeka lakini baada ya kuingie Dwayne ikawa tamu kama mpya vile...Anyway, Natumai kupitia mambo 10 katika episode hii itatufundisha kitu.
0:00 | Introduction
0:45 | Historia ya The Rock
1:28 | Kufeli kwa Dwayne Johnson kabla ya Mieleka
2:20 | Mkosi wa The rock
3:00 | Baba yake na babu yake walikuwa wrestlers.
3:52 | The rock WWE na kuchukiwa na mashabiki
4:29 | Tukio lililomfanya The Rock kuanza kupendwa WWE
5:24 | The Rock aliacha mieleka na kuigiza Fast and Furious
6:11 | The Rock ni muigizaji anayeongoza kulipwa dau nono zaidi
6:55 | Tattoo ya ...

Fahamu kuhusu akili bandia inayofanya kazi kama ubongo wa mwanadamu — Bongotech255
https://youtu.be/JFa19ue6arM 4:31
https://youtu.be/JFa19ue6arM 4:31
YouTube
maajabu ya Artificial intelligence kwenye ulimwengu wa Teknolojia 2022
Artificial intelligence inafanya kazi kama ubongo wa mwanadamu kufanya mambo mbalimbali
Please subscribe likes comment and share
Join telegram Yetu 👇
https://t.me/bongoTechs255
Teknolojia ni Yetu sote 🙃
Please subscribe likes comment and share
Join telegram Yetu 👇
https://t.me/bongoTechs255
Teknolojia ni Yetu sote 🙃
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Fahamu kuhusu akili bandia inayofanya kazi kama ubongo wa mwanadamu

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Алексей (TikTok)
Установка не оригинального модуля на Samsung A51 по просьбе клиента (#samsunga51 #лайкниэтовидео #подписка😍 #мастерская #tiktok #рекомендации❤️❤️🤪все #ремонтэлектроники #телефоны #ремонттелевизоров #ремонттелефонов #ремонтноутбуков #😎😎😎😎 #дисплей #реееек #рек #замена

TECNO Camon 19 Pro na Phantom X Zashinda Tuzo Za Muundo Bora
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa chapa hiyo katika uvumbuzi wa […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/tuzo-za-muundo-bora/

Tanzania Tech
TECNO Camon 19 Pro na Phantom X Zashinda Tuzo Za Muundo Bora
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora
Jinsi ya Kununua Kamera Bora na Mambo ya Kuzingatia
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kununua kamera ya DSLR basi kupitia makala hii nitaenda kukusaidia kununua kamera hiyo kwa kuonyesha mambo muhimu ambayo unatakiwa kujua kabla ya kununua kamera yako ya DSLR ya kwanza. Njia hizi zime nisaidia mimi binafsi na nimeona leo nishiriki nanyi huku nikiwa na matumaini kuwa inaweza ku-kusaidia […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kununua-kamera-dslr/

Kama unataka kununua kamera ya DSLR ambayo ni bora kwa matumizi yako basi soma hapa kujua mambo 6 ya kuzingatia kabla ya kununua kamera ya DSLR.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Jua namna ya kuset Keyboard za Android na kuset keyboard zinazo sumbua kutype #Simukitaa

Namna ya kufuta Herufi Moja uliyo kosea Kuandika bila kufuta neno lote au Message yote, Hasa kwenye iPhone 🤝 #simukitaa

Siku ya juzi tulipata bahati ya kualikwa na ITV kwenye kipindi cha mezahuru kuzungumzia Kuhusu Teknolojia Na Huduma kama wadau wa teknolojia tulio jikita kutoa elimu ya matumizi ya simu 🙏 #simukitaa

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3) — Newzfid
https://youtu.be/-eYm4TYVOMI 8:01
https://youtu.be/-eYm4TYVOMI 8:01
YouTube
TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3)
#Spiderman #Venom
Katika hii episode tunakwenda kuangazia Behind the scene za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021..SPIDER-MAN: NO WAY HOME na Venom: Let There Be Carnage.
0:00 | Introduction
1:06 | SPIDER-MAN: NO WAY HOME VFX breakdown in Swahili…
Katika hii episode tunakwenda kuangazia Behind the scene za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021..SPIDER-MAN: NO WAY HOME na Venom: Let There Be Carnage.
0:00 | Introduction
1:06 | SPIDER-MAN: NO WAY HOME VFX breakdown in Swahili…
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3)
#Spiderman #Venom
Katika hii episode tunakwenda kuangazia Behind the scene za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021..SPIDER-MAN: NO WAY HOME na Venom: Let There Be Carnage.
0:00 | Introduction
1:06 | SPIDER-MAN: NO WAY HOME VFX breakdown in Swahili
5:00 | Venom: Let There Be Carnage VFX breakdown in Swahili
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Usinunue Simu za Zamani Zenye Umri Zaidi ya Miaka 4
Kwa sasa ni wazi kuwa kila kampuni ya simu inajitahidi kwenda na wakati kwa kuzindua simu mpya zenye sifa mbalimbali na zinazo endana na wakati. Lakini kama wewe ni kama mimi ni wazi kuwa kuna wakati unataka kununua simu ya bei rahisi na hivyo unajikuta unataka kununua simu ya miaka ya nyuma kwa sababu mara […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kwa-nini-usinunue-simu-yenye-umri-zaidi-ya-miaka-4/

Kama unafikiria kununua simu ya zamani ya miaka minne iliyopita kutoka izinduliwe, subiri kwanza! soma makala hii kabla ya nununa simu hizo.