App Bora Unayohitaji kwa Ajili ya Watoto (Katuni za Watoto)
Kama wewe ni mzazi basi lazima umeshakutana na matatizo ya mtoto kumaliza bando kwenye simu yako kwa kuangalia katuni kupitia mtandao wa YouTube au YouTube Kids Kuliona hilo leo hapa Tanzania tech nimekuletea app moja tu ambayo na uhakika inaweza kusaidia sana kutunza bando lako ikiwa pamoja na kufurahisha watoto wako hasa kipindi hichi cha […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/katuni-za-watoto/

Tanzania Tech
App Bora Unayohitaji kwa Ajili ya Watoto (Katuni za Watoto)
Unatafuta katuni za watoto kwaajili ya mwanao, soma makala hii kujua njia bora ya kupata video bora za katuni kwaajili ya watoto wako bure kabisa.
Error Compiling Movie - Jinsi ya kutatua tatizo hili ndani ya Premiere Pro — Richstar
https://youtu.be/cNO0NetHl8c 4:06
https://youtu.be/cNO0NetHl8c 4:06
YouTube
Error Compiling Movie - Jinsi ya kutatua tatizo hili ndani ya Premiere Pro
Njia tatu za kutatua tatizo la Premiere Pro ama Adobe Media Encorder kushindwa ku export video yako na kuleta ujumbe wa tatizo unaosomeka "Error Compiling mo...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Error Compiling Movie - Jinsi ya kutatua tatizo hili ndani ya Premiere Pro
Njia tatu za kutatua tatizo la Premiere Pro ama Adobe Media Encorder kushindwa ku export video yako na kuleta ujumbe wa tatizo unaosomeka "Error Compiling movie".
FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kuona Jina Lako Kwenye Truecaller
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android basi ni wazi kuwa unayo au ulishawahi kujaribu app ya Truecaller kwenye simu yako. Kama ufahamu kuhusu app hii, basi pengine ni kwambie kuwa Truecaller ni app inayo kusaidia kujua nani anaekupigia simu hata kama huna namba yake kwenye phonebook ya simu yako. Hadi mwaka jana 2020, […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/jinsi-ya-kuzuia-mtu-kuona-jina-lako-kwenye-truecaller/

Je hutaki watu wajue jina lako pale unapo wapigia simu.?, Soma hapa kujua jinsi ya kujifuta kwenye app ya Truecaller ili watu wasijue jina lako unapo wapigia.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
MAMBO 10 UMEDANGANYWA NA MOVIE (PART 2)
#Movie #Uongo
Katika episode hii nitakwenda kuchambua uongo ambao dhahiri movie za Hollywood zimekuwa zikitudanganya kiasi kwamba baadhi yetu wanaamini kuwa ni kweli..
0:00 | Introduction
0:40 | unaweza Kuvuta Pini ya Grenade kwa kama RAMBO?
1:28 | unaweza kuokota grenade na kuirusha tena? James Bond
2:23 | Mlipuko wa bomu - Man on fire movie
3:08 | Je, unaweza kupiga risasi kufuli hadi kufunguka? FBI movies
3:46 | Hivi Bunduki zenye Silencers ziko kimya kweli?
4:33 | Je, mambomu ya kutegwa ardhini 'Landmines' hutoa sauti kabla ya kufyatuka?
4:58 | Je! risasi huondolewa kila wakati?
6:08 | Vita za zamani ni za kikatili zaidi?
6:58 | Unaweza Kuruka kupitia Dirisha la Kioo Bila kuumia?
7:46 | Watu Wanaozama Wanapiga kelele?
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Jinsi ya Kuweka Link Kwenye Post za Instagram (2022)
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Instagram basi ni wazi kuwa ulishawahi kujaribu kuweka link kwenye post zako za Instagram bila mafanikio, lakini hivi karibuni Instagram imeleta njia mpya ya kuweka link kwenye post zako kwa urahisi na haraka. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia hii ambayo unaweza kutumia kuweka link kwenye post zako […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/link-kwenye-post-za-instagram/

Kama unataka kuweka link kwenye post zako kwenye mtandao wa Instagram basi kupitia makala hii utaweza kujua jinsi ya kuweka link kwenye instagram post.