Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kwa kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, vituo vya Televisheni Nchini vimeongezeka kutoka kituo kimoja (1) kilichokuwepo awali hadi kufikia vituo 51 hivi sasa.

#sikuyatvduniani2021
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

jinsi ya kuondoa tatizo la Instagram couldn't refresh feed Kwa njia rahisi @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kuondoa tatizo la Instagram couldn't refreshing feed kwenye akaunti yako

kwani tatizo hili usababishwq na mambo kadhaa

1️⃣ Intaneti kuwa slow
2️⃣ server kuwa down
3️⃣ Instagram kutokuwa updated
4️⃣ Instagram wamekuzuia kutokana vitu mbalimbali na nk.

usisahau ku subscribe like na kukomenti Kwa video zaidi 🌏

#techy #instagram #fix #maujanja #bongotech #swahili
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NYUMBA YA DRAKE | HOUSE TOUR
Drake ni nyota wa rap aliyezaliwa Toronto anayejulikana kwa nyimbo maarufu kama Gods Plan, One Dance na Hotline Bling...Drake ni tajiri sana, kulingana na Forbes, Drake ni tajiri wa 8 katika orodha ya marapa matajiri duniani akiwa na utajiri wenye thamani ya dola milioni 181m kama bilioni 420 hivi kwa pesa yetu. Ni wazi kuwa Drake ni tajiri, huko marekani ana miliki nyumba zaidi ya 4 ila nyumba tunayokwenda kuiangalia leo ni nyumba hii mpya iliyopo Toronto nchini Canada.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Semina ya uelewa kwa Wanafunzi na Wakufunzi kutoka Vyuo Vikuu 12 vinavyotambuliwa na TCU vilivyopo Jijini Dar es Salaam; kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano, usalama mtandaoni na kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa klabu za dijitali (digital clubs) zitakazowezesha elimu kuhusu usalama mtandaoni.

Semina hiyo imetolewa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Kitengo cha uchunguzi wa makosa ya kimtandao, leo tarehe 22/11/2021 katika Makao Makuu ya TCRA.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 inaeleza kuwa mtu atakayetenda kosa tajwa atawajibika iwapo atatiwa hatiani: kulipa faini isiyopungua shilingi milioni tano au kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu au vyote kwa pamoja.

#SambazaMchongoNaSioUongo
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 inaeleza kuwa mtu atakayetenda kosa la unyanyasaji kupitia mtandao atawajibika iwapo atatiwa hatiani: kulipa faini isiyopungua shilingi milioni tano au kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu au vyote kwa pamoja.

#SambazaMchongoNaSioUongo