Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Umepoteza simu yako || hujui umeweka wapi
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kuweza kuipata simu yako ambayo umepoteza au umesahau umehiweka wapi ?

Hili Cha kuzingatia video hii ni kwa ajili ya wale watu ambao wamepoteza simu kwenye mazingira ya nyumbani au ofisini sio wale waliohibiwa 🎯.

Yani umeweka simu mahali Hila ukumbuki ni wapi basi video hii ni yako .

usisahau kutu follow kwa maujanja mbalimbali kuhusu simu kwenye page yetu @bongotech255