Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Ondoa tatizo la kushindwa kupokea au kutuma ujumbe kwenye simu yako

Unataka kutuma ujumbe kwa mtu ambaye amekutumia sms lakini Kila ukituma inagoma Salio unalo na kifurushi umejiunga ?

Hili ni Moja ya changamoto ya watu wengi Sana kwenye simu kuna wakati unakuta unakutana na tatizo la kushindwa kutuma ujumbe wakati Salio la kifurushi umejiunga πŸ˜”.

Ukiangalia mtandao uko poa , Salio unalo alafu ujumbe unapokea Hila kwako unakata kutoka kwenda kwa mtu unayemtaka. Kuna njia kadhaa za kufuata hili kuondoa tatizo hili.

1️⃣ Kwanza hakikisha umefanya update ya app yako
Hakikisha app yako ya kutuma na kupokea ujumbe umefanya update either Whatsapp au meseji yoyote hile ya kawaida. Kuna wakati app zinazingua kufanya kazi kutokana na kutofanya update hivyo hakikisha app yako hiko updated toleo jipya

Ili kufanya update ingia play s...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority Π½Π° Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

β€œTutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo β€œ