Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Bambo la Mtaa! | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fuatilia kipindi cha Bambo la Mtaa kinachorushwa kila siku ya Alhamisi kuanzia Saa Mbili na nusu (2:30)Usiku kupitia Chaneli ya Clouds TV.

Usikose!!!
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) akiwasili Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwaajili ya Ziara ya ukaguzi wa mifumo ya Kielektroniki inayowezesha utendaji kazi mbalimbali za TCRA leo tarehe 15 Septemba, 2021.
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—™๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

Unajua Whatsapp ni Moja ya app ambayo inatumiwa Sana na watu wengi ulimwenguni inazaidi ya watumiaji bilioni mbilii duniani kote.

Ni muhimu mtu kutunza data zako za Whatsapp huwezi jua hipo siku inawezekan ukawa umeibiwa simu , au umepoteza au sababu nyingine yoyote.

Ngoja nikupe maujanja ya kufanya ili kuweza kulinda data zako za Whatsapp muda wowote hule๐Ÿ‘‡

Kwanza hakikisha Whatsapp yako hipo update kwa wale watumiaji wa Whatsapp ya kawaida au gb mods basi hakikisha hiko updated Kisha tuendelee ,

Fungua Whatsapp yako Kisha juu upande wa kulia kuna vidoti vitatu gusa hapo Kisha ingia setting

>> Alafu chats >> shuka chini mpaka kwenye chat backups ingia hapo >> utaona neno backup utaweza kubonyeza ila kabla ujabonyeza .

Backup ni...

View original post