Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.61K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐—ก๐—™๐—œ๐—ก๐—œ๐—ซ ๐—ญ๐—˜๐—ฅ๐—ข ๐—ซ

Moja ya video yake imeonekana kuvuja kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwa na uwezo wa mega pixel 108MP za kamera kwa nyuma.

Vipi unategemea maajabu Gani kutoka kwenye simu hii kwa upande wa Kamera tuachie maoni yako Sasa ?

#SeeBeyond
#ZeroXPro
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fahamu kuhusu umuhimu na matumizi ya namba 100 kwenye huduma za Mawasiliano ya simu katika kipindi maalum cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mubashara kupitia chaneli yetu ya YouTube na ukurasa wetu wa Instagram, Alhamisi hii tarehe 16/09/2021 kuanzia saa moja kamili (1:00) Usiku.

Usikose!
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚

Kuna mengi umesikia kuhusu njia salama za kuchaji simu yako. Pia umesikia kuhusu njia Ambazo utakiwi kuzifanya wakati unachaji simu

Je kuna ukweli wowote ?

Ngoja niwape elimu Japo kwa uchache kuhusu kuchaji simu na usalama wa betri lako wakati unachaji simu yako we tafuta mahali upepo tulivu pia usisahau kuagiza soda ya baridi huku ukiendelea kusoma makala hii !!

1๏ธโƒฃ Kusubiri chaji hiwe chini kabisa au imeisha kabisa ndo uchaji

Hii sio kweli kabisa ni uongo Moja wapo mkubwa Sana ๐Ÿ˜† , kwani ukiwa unachaji simu yako mara kwa mara ndiyo hupelekea simu yako kuwa imara katika utunzaji wa chaji. Hapa sizungumzi Kila baada ya dakika 5 ๐Ÿ˜„ tuelewane jamani ni kuwa usisubiri mpaka simu aina chaji kabisa ndo uchaji.

2๏ธโƒฃ Kuchaji simu usiku kucha
Moja ya uo...

View original post