Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

โ€œTutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleoโ€
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—จ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Kuna wakati unakuta unataka kupunguza vitu vyako kwenye simu ili kuipa nafasi zaidi simu lakini ghafla ukajikuta umefuta file la picha au video zako kwa bahati mbaya kwenye simu yako either kwa kujua au kutojua utafanyaje ? ๐Ÿคข

Okay umekuja sehemu sahihi fahamu app bora za kuweza kukusaidia kurudisha vitu vyako ulivyovifuta bahati mbaya kwenye simu yako

kwa wale watumiaji wa Iphone yenyewe kuna mfumo wa ndani ya simu ya kuweza kurudisha vitu vyako ambayo inaitwa "recently deleted".

Kwa watumiaji wa android sasa ๐Ÿ˜„ndo inabidi mu pakue hizi app kwenye simu zenu zingine zipo play store zingine hazipo hivyo ukiona umetafuta play store ukakosa basi tumia google ya kawaida kudownload.

โ–ซ๏ธ dumpster
โ–ซ๏ธ android data recovery
โ–ซ๏ธdiskdigger
โ–ซ๏ธundel...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi cha Mawasiliano kwa Maendeleo kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia Saa Tatu na dakika Tano (3:05)Usiku kupitia Chaneli ya TBC1.

Usikose!!!