Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi cha Mawasiliano kwa Maendeleo kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia Saa Tatu na dakika Tano (3:05) Usiku na marudio ni Alhamisi saa Sita kamili Mchana kupitia Chaneli ya TBC1

Usikose!!!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Mawasiliano kwa Maendeleo | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi cha Mawasiliano kwa Maendeleo kupitia chaneli ya TBC1 leo Usiku kuanzia Saa Tatu na dakika Tano (3:05) na marudio ni Siku ya...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @download_it_bot

Kevin Parry - Magically Turning into Snow | Facebook
How I turned into snow โ„๏ธโ„๏ธโ„๏ธ
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ๐˜€ ๐—ต๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Huu ni muendelezo wa kukuletea apps nzuri za kuvutia na Ambazo watu wengi hawazijui kama wanaweza kuzitumia kwenye simu zao kwa kuweza kuwasaidia kufanya jambo Fulani.

Hii ni sehemu ya pili ya muendelezo kama unapenda kujua sehemu ya kwanza basi tembelea page yetu ya @bongotech255 ili ujifunze nasi.

1๏ธโƒฃ WABOX
hii ni Moja app bora Sana kuwa mayo kwenye simu yako kwani kwenye hii app inakupa uwezo wa kuchati kupitia Whatsapp huku ukiwa unatembea bila shida yoyote kwani utakua unaona sehemu ya mbele unayotembea huku ukiendelea kutumia hii apps kuweza kuchati na wenzako.

Unatumia kamera ya nyuma ya simu yako itafute Sasa.

2๏ธโƒฃ Open Signal
Kuna wakati labda umekuta huko maeneo ambayo upati intaneti , network au mtandao unasumbua ila hujui Cha kufanya ? Basi app...

View original post