Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Samsung S25 Ultra vs S25+ vs S25 vs iPhone 16 Pro Max vs 16 Pro vs 16+ vs 16e vs 16 - Battery Test

Teknolojia ya eSIM Ikoje? Kwa Nini Si Maarufu na Je Baada ya iPhone 17 Kutoka Itaongeza Umarufu Wake?:
https://telegra.ph/Teknolojia-ya-eSIM-Ikoje-Kwa-Nini-Si-Maarufu-na-Je-Baada-ya-iPhone-17-Kutoka-Itaongeza-Umarufu-Wake-09-14

Telegraph
Teknolojia ya eSIM Ikoje? Kwa Nini Si Maarufu na Je Baada ya iPhone 17 Kutoka Itaongeza Umarufu Wake?
Leo, kila mtu anazungumzia kuhusu urahisi wa kutumia simu, lakini je umesikia kuhusu eSIM? Hii ni teknolojia inayokuwezesha kuunganisha simu yako na mtandao bila kutumia kadi za plastiki. Kila kitu kimehifadhiwa kielektroniki ndani ya kifaa chako. Kwa maneno…
〽︎ Teknolojia
Mastodon imeweka kipengele kipya cha kudhibiti 'quotes' kwenye posts!
Sasa unaweza kudhibiti nani anayeweza kunukuu posts zako, kuona quote posts, na hata kuondoa post yako kama mtu aki-quote post yako na hautaki atumie post yako.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Hivi unajua kwamba unaweza kubadili muonekano wa simu yako na kuwa vyovyote unavyotaka wewe??

kama unazani umeona basi ujue bado njoo Tanzania Mkoa wa Rukwa kuna maporomoko ya ajabu sana yanaitwa KALAMBO FALLS. hutatamani kurudi. 🇹🇿

Simu za Mkunjo (Foldable Smartphones): Je, Tunazihitaji Kweli?:
https://telegra.ph/Simu-za-Mkunjo-Foldable-Smartphones-Je-Tunazihitaji-Kweli-09-16

Simu za Mkunjo (Foldable Smartphones): Je, Tunazihitaji Kweli?
Kwa Nini Simu za Mkunjo Zinavutia?