〽︎ Teknolojia
Meta itafanya event yake ya Meta Connect - Kesho saa 3 Asubuhi kwa muda wa Afrika Mashariki
Agenda kuu: Itaonyesha miwani zake za AI na mwelekeo wa kampuni hiyo katika maswala ya Akili Bandia na Metaverse

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Kama unaamini kila mtu atatobo kwa njia yake basi usimnyime hii Video Shea kwake pia Tufanikiwe pamoja. 🇹🇿 🇰🇪

Utofauti wa features ziliopo kwenye iPhone 17 promax na 16 promax Swali ni je utatop up mzawa????

Google Yaingiza Gemini Kwenye Chrome Baada ya Kunusurika Kuvunjwa.:
https://telegra.ph/Google-Yaingiza-Gemini-Kwenye-Chrome-Baada-ya-Kunusurika-Kuvunjwa-09-19

Telegraph
Google Yaingiza Gemini Kwenye Chrome Baada ya Kunusurika Kuvunjwa.
Google, moja ya kampuni kubwa za teknolojia duniani, imepita kwenye changamoto kubwa ya kisheria. Baada ya kunusurika kuvunjwa kwenye kesi ya antitrust, kampuni sasa inachukua hatua ya kihistoria: kuibadilisha Chrome kuwa kivinjari kinachotumia Akili Mnemba…
❤1