Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
4. KUTUMIA PUBLIC WI-FI BILA KUCHUKUA HATUA ZA USALAMA
Public Wi-Fi ni hatari kwa data zako binafsi kama passwords, photos na details za apps zako.

Hackers wanaweza kupata data zako kwa urahisi endapo huna precautions.
2. KUKUBALI APP PERMISSIONS ZISIZOZAHLISHWA
Apps nyingi zinakuuliza ruhusa za kamera, microphone, location na data nyingine zisizohitajika.

Hii sio tu inaweka privacy yako hatarini, bali pia inaweza kufanya simu yako kuwa slow au kutumia data nyingi bila wewe kujua.
Suluhisho: Tumia VPN wakati wa public Wi-Fi, au epuka kufanya transactions muhimu kama kulipa bills, kufanya shopping au ku-access bank apps.
Suluhisho: Weka automatic updates pale inapowezekana, au hakikisha una-update mara kwa mara apps na system ya simu yako.
Kila unapochaji hadi 100% na kuiacha ikibaki plugged, unapunguza muda wake wa matumizi.

Suluhisho: Lenga kuchaji battery hadi 80-90% na toa kabla ya kulala.

Ikiwezekana tumia chargers za asili za simu yako.
5. KUKWEPA SOFTWARE UPDATES
Kukwepa updates ni hatari kubwa kwa simu yako.
Updates hurekebisha bugs, huongeza security, na mara nyingine huboresha speed na features za simu.

Simu isiyopata updates mara kwa mara inaweza kuwa vulnerable kwa malware na crash.
Suluhisho: Angalia permissions kwenye settings za simu yako na zifunge zisizohitajika. Angalia apps unazotumia kila mwezi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Safari ya kuelekea kuifuata ndoto yetu🔥🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini)
Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
︎ Teknolojia

💨 Leo kuelekea uzinduzi wa Google Pixel 10 Series tayari picha wamezivujisha.
︎ Teknolojia

💨 Mwanza: Roundabout ya Samaki 📍

@Njiwa_Store
1
︎ Teknolojia

💨 Hatimaye zimezinduliwa rasmi leo 🔥
︎ Teknolojia

💨 Box za Pixel 10 zinafanana na za Pixel 9.
@Huduma

💨 SAMSUNG WARRANTY TZ

▪️S25 (8+256) - 1.85 UK Stock
▪️S25 (8+256) - 2.1m
▪️S25+ (12+256) - 2.3m
▪️S25 Ultra (12+256) - 2.55m

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A07 (4+64) - 345K
▪️A07 (4+128) - 380K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (8+256) - 550K
▪️A26 5G (6+128) - 650K
▪️A26 5G (8+256) - 750K
▪️A36 5G (6+128) - 850K
▪️A36 5G (8+256) - 950K
▪️A55 5G (8+256) - 950K
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.1M