This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Namna ya kucheza game za kwneye sim kwa kutumia ps5 controller pad Hii imekaa poa saba kwa sisi Gamers🔥🔥

ChatGPT 5 imepata malalamiko mengi baada ya watu wengi kuona haina uwezo mkubwa kama GPT-4o
vxTwitter / fixvx
Sam Altman (@sama)
GPT-5 rollout updates:
*We are going to double GPT-5 rate limits for ChatGPT Plus users as we finish rollout.
*We will let Plus users choose to continue to use 4o. We will watch usage as we think about how long to offer legacy models for.
*GPT-5 will seem…

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
💡 Internet kupitia mwanga! 🚀 Hii si Wi-Fi… ni Li-Fi – teknolojia mpya inayotumia mwanga wa LED kutuma data kwa kasi ya ajabu ⚡ 📶 Kasi yake inaweza kufika hadi mara 100 ya Wi-Fi! Je, unafikiria siku moja tutaachana na Wi-Fi kabisa? 🤔

💡 Njia za Kupunguza Joto
Tumia Wi-Fi badala ya mobile data pale inapowezekana.
Funga apps zisizohitajika.
Epuka kutumia simu ukiwa unaichaji.
Tumia battery saver mode kwenye browsing ndefu.

2️⃣ Baseband Processor Load
Simu yako ina chip maalum inayoitwa baseband processor inayoshughulika na mawasiliano ya mtandao.

1️⃣ CPU Background Processes
Unapowasha data, apps nyingi huamka kimya kimya na kuanza kufanya kazi:

3️⃣ Tower Congestion
Kama uko kwenye eneo lenye network congestion (watumiaji wengi), simu yako inalazimika kutumia nguvu kubwa kutuma na kupokea data kutoka kwenye minara.
Hii inasababisha battery drain na joto kuongezeka.

5️⃣ Graphics Rendering
Apps za video fupi (TikTok, Instagram Reels, YouTube Shorts) zinahitaji GPU kufanya kazi nonstop → joto linaongezeka.

Unapotumia data, chip hii hufanya kazi kwa kasi kubwa kusafirisha data kwa njia ya uplink na downlink.
Kadri inavyofanya kazi zaidi, ndivyo inavyotoa joto zaidi.

4️⃣ Battery Drain + Heat
Kuchaji na kutumia internet kwa wakati mmoja kunasukuma voltage juu sana → betri inatoa joto kubwa.

Sync ya barua pepe
Backups
Updates
Push notifications
Hii inaongeza CPU load bila wewe kugusa simu.
Backups
Updates
Push notifications
Hii inaongeza CPU load bila wewe kugusa simu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Ushasikia njia Nyingi Za kukagua Simu kama ni Refurb, Non Active au Used…!!! Ndiyo mwanakitaa na hii Video itaenda kumaliza utata wa maswali yako kuhusu vyote ulivyowahi kusikia kuhusu kukagua iPhone kabla ya kununua… Angalia video hii mpaka mwisho utakuja kunishukuru baadaye… Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori