Teknolojia
132 subscribers
3.78K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
💨 Hii kasi wanayokuja nayo Selcom 🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jinsi ya kupajua video kutoka kwenye mtandao wowote.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hivi ndiyo vitu visivyo na msingi vinavyojaza simu yako..
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mwanakitaa aliyekuja kitaani kuchukua 16 Pro Max Non Active..
Na hata kujua vitu vya siri bila kufungua simu

Hii ni hatari kwa usalama, hasa kama:

Unatumia simu kazini

Unaacha simu nyumbani kwa ndugu

Unapoteza simu yako na imefungwa lock tu
SMS (Messages App)

Kwa Android:

1. Settings > Notifications > Messages

2. Zima Show preview

3. Unaweza pia kuchagua: “Only when unlocked”
Pia unaweza nenda Settings > Lock screen > Notifications na uchague:

> "Do not show notifications"
au "Icons only" (itaonyesha ikoni tu, si ujumbe)
WhatsApp (iPhone)

1. Settings > WhatsApp > Notifications

2. Kwenye Show Previews, chagua Never au When Unlocked
Tumia Notification Access Control Apps kama AppLock, kwa apps nyeti kama WhatsApp au Telegram.

Usisahau kuweka strong screen lock: PIN au biometric (fingerprint/Face ID).

Badili Notification Style kwenye Settings > Lock screen > Notifications