Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Kwa iPhone:

1. Settings > Notifications > Messages

2. Show Previews > Never
โœ… Telegram (Android & iOS)

1. Fungua Telegram

2. Nenda Settings > Notifications and Sounds

3. Zima Message preview kwa:

Private Chats

Groups

Channels

๐Ÿ” Hii inazuia sehemu yoyote ya ujumbe kuonekana juu ya screen.
Kwanini uzime message preview?

๐Ÿ“Œ Notification preview ni huduma ya simu kuonyesha ujumbe unaokuja bila kufungua app.
Hii inamaanisha mtu yeyote anaweza:

Kuona jina la aliyetuma

Kusoma sehemu ya ujumbe
Njia za kuzima notification preview kwa kila app:

โœ… WhatsApp (Android)

1. Nenda Settings > Notifications

2. Zima High priority notifications

3. Kwenye Popup notification, chagua โ€œNo popupโ€

4. Zima Show preview
@Huduma

๐Ÿ’จKampuni ya Xiaomi wanaenda kuzindua simu nne kwa wakati mmoja.

Simu hizi ni Xiaomi 16 series zitakazojumuisha Xiaomi 16, Xiaomi 16 pro, Xiaomi 16 pro max na Xiaomi 16 Ultra.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿงต 3. Zima kila sehemu yenye usumbufu

โœ… Auto-correction โ€” Zima
โœ… Show suggestion strip โ€” Zima
โœ… Next-word suggestions โ€” Zima
โœ… Auto-capitalization โ€” Zima
โœ… Personalized suggestions โ€” Zima

Ukimaliza, hakuna neno litabadilika tena bila ruhusa yako!
๐Ÿงต 6. Kwa nini hii ni muhimu?

Unaandika haraka na kwa uhuru

Simu haitakurubia na kubadilisha maana

Inafaa zaidi kwa lugha ya Kiswahili + mitandao

Inazuia aibu kwenye status au DM zako ๐Ÿ˜‚
๐Ÿงต 5. BONUS โ€“ Futa historia ya maneno uliyoandika zamani

> Gboard โ†’ Settings โ†’ Advanced โ†’ Delete learned words & data โ†’ Ingiza code (0000) โ†’ Delete
๐Ÿงต 2. Jinsi ya kuingia kwenye settings (Android)

1. Fungua Settings

2. Tafuta System au General Management

3. Gonga Language & Input

4. Nenda kwenye On-screen Keyboard

5. Chagua Gboard (au keyboard unayotumia)

6. Gonga Text Correction
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จUNASUMBULIWA NA AUTO CORRECT, PREDICTIONS WORDS?

"Simu yako inabadilisha maneno unayoandika?

Zima hizi settings mara moja!"

Unaandika โ€œnipoโ€ inageuka โ€œNairobiโ€ ๐Ÿ˜‘
๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
๐Ÿงต 4. Vipi kama unatumia keyboard tofauti?

โ–ถ๏ธ Kama unatumia Samsung Keyboard:
Fungua Settings > General Management > Samsung Keyboard settings > Smart typing
โ–ถ๏ธ Kama ni Microsoft SwiftKey:
Settings > Languages & input > On-screen keyboard > SwiftKey > Typing > Typing & autocorrect
โš ๏ธ Kila keyboard ina njia yake lakini logic ni ile ile: tafuta sehemu ya 'Text correction' au 'Smart typing'.
Sababu ni settings kama:

โœ… Auto-correct

๐Ÿ”ฎ Prediction strip

๐Ÿ”  Auto-capitalization

๐Ÿง  Personalized suggestions

Zimewekwa default, lakini unaweza kuzima zote kwa dakika 2 tu.