Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ”’ Samsung:
➑️ Gallery > Menu (3 dots) > Settings
➑️ Washa "Show hidden albums"
πŸ“ 3. Check kwenye .thumbnails folder (Android)
Hata baada ya kufuta picha, Android huihifadhi version yake kwenye .thumbnails folder.

➑️ Fungua File Manager
➑️ Nenda: Internal Storage > DCIM > .thumbnails
πŸ”„ 6. Cloud Storage nyingine
Je, uliwahi kutumia Dropbox, OneDrive, au Telegram?

➑️ Nenda kwenye apps hizo.
➑️ Angalia "Media" au "Saved" sections.
➑️ Kuna uwezekano picha zako zipo humo.

Telegram hasa huokoa media zote unazojitumia au kudownload kutoka group.
πŸ—‚οΈ 5. Hidden Albums (iPhone & Android)
Picha zingine huenda umeziweka β€œhidden” kwa bahati mbaya.

πŸ”’ iPhone:
➑️ Photos > Albums > Hidden (chini kabisa)
➑️ Unahitaji Face ID/Passcode ili kuingia.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JBL PARTYBOX 320 & JBL PATRYBOX 310 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Hizi ni zaidi ya balaa wanakitaa, Speaker hizi zinapatikana kitaani…!! Speaker hizi zina uwezo mkubwa na zina sauti ya kutosha wanakitaa, ukiwa nayo hii unaweza ukaitumia kwa shughuli mbalimbali na kila kitu kinakuwa sawa.. Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jeh ulikua unayajua haya Mwanakitaa..!! Najua ulikua ufahamu mengi kuhusu haya ila Tafadhali angalia video Hii Mpaka Mwisho Then Thank Me Later.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
3. Njia bora ya kuzuia hili ni kuzima preview ya ujumbe kwenye lock screen au kwenye notification bar.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ZUIA WATU KUSOMA NOTIFICATION ZAKO ZA WHATSAPP.
(SHOW SENSITIVITY CONTENT)

Uzi mfupi sanaπŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡

1. πŸ“± Unapopokea WhatsApp message, huwa inaonekana juu ya skrini hata kama simu imefungwa β€” ikiwa na jina na sehemu ya ujumbe.
3. Njia bora ya kuzuia hili ni kuzima preview ya ujumbe kwenye lock screen au kwenye notification bar.
5. Zima chaguo la "Show notification content" au "Sensitive content on lock screen" (kutegemea aina ya simu).
πŸ“± Kwa iPhone:

7. Nenda Settings > Notifications > WhatsApp
β†’ Chagua Show Previews
β†’ Weka Never au When Unlocked
8. Hii inahakikisha mtu hawezi kuona hata sehemu ya ujumbe mpaka uifungue wewe mwenyewe.