Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
⚠️ 3. Hili linawezekana kwa njia gani?
– Kuibiwa simu hata kwa sekunde chache

– Kutapeliwa kuandika codes kama *21* au *062*

– Kupokea SMS ya ‘update’ au ‘promotion’ yenye link ya kudanganya
– Kutumia Wi-Fi ya bila ulinzi mahali pa umma

– Kupiga picha ya SIM card yako
🛡️ 7. Jinsi ya Kujilinda:
– Usikubali kusaidiwa kuweka settings na mtu usiyemwamini
– Hakikisha una PIN kwenye line yako (PUK PIN)
– Usitumie public Wi-Fi bila VPN
– Usifungue link kutoka kwa namba usiyojua
– Angalia call/SMS forwarding mara kwa mara: dial *#
🔐 9. BONUS: Weka usalama zaidi kwa kutumia:
SIM PIN (Settings > Security > SIM Card Lock)
App Lock kwa apps nyeti (bank, WhatsApp, gallery)
2FA (Two Factor Authentication) kwenye kila account
Usimpe mtu simu yako aishike bila sababu
🏦 8. Kwa nini hili ni la hatari sana?
– Anaweza kupata OTP za bank, social media, M-Pesa
– Anaweza kufungua account mpya kwa jina lako
– Anaweza kukuharibia jina mitandaoni au kuiba mali zako
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW 💥

▪️Smart 8 (4+64) - 250K
▪️Smart 10 (8+64) - 290K
▪️Smart 10 Pro (8+128) - 330K
▪️Hot 60i (8+128) - 330K
▪️Hot 60 Pro (16+128) - 520K
▪️Hot 60 Pro (16+256) - 650K
▪️Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Note 50 (16+256) - 650K
▪️Note 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Ipi bora kwenye Video?

Xiaomi 14 Pro iPhone 15 Pro Max
💨 Haya PSG wamepata nafasi ya kutoa mpira nje Chelsea hawatoboi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mashine hii haifungui begi, lakini inayaona yote! 👀 Je, unajua inavyofanya kazi?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Usijaribu kuchaj simu yako kwneye godoro usiku ukilala ni hatari sana #technology
Anaweza kutumia hotspot yako kufanya mambo haramu – wewe ndio utahusishwa
🕵🏽‍♂️ 2. Mtu anayejua tech anaweza kufanya nini kupitia hotspot yako?

Kuona websites unazotembelea – kupitia sniffing tools kama Wireshark

Kukuchunguza (monitoring) kwa njia ya DNS spoofing
Kukudukua (hacking) kupitia Man-In-The-Middle attack

Kuweka malware kupitia files unazodownload

Kuiba taarifa zako za login kama hujatumia https

Yote haya yanawezekana ikiwa hotspot yako haina encryption nzuri na unamruhusu mtu asiyefahamika.
🧨 Mtu akiingia kwenye dark web, aka-download content haramu, au akatuma vitisho, kupitia hotspot yako –

➡️ Rekodi ya ISP itaonyesha ni wewe uliyetoa internet.
Unaweza kuitwa na polisi bila hata kujua kilichotokea. Kwa sababu: "Data ilipitia kwa laini yako, jina lako, na location yako."
⚠️ Umeona devices zisizo zako kwenye hotspot list yako

Kama unaziona dalili hizi – simama. Kitu si salama.