π 4. Dalili kuwa kuna kitu kibaya kwenye hotspot yako
β οΈ Intaneti yako inakwisha haraka hata bila matumizi makubwa
β οΈ Simu inapata joto isivyo kawaida ukiwasha hotspot
β οΈ Unapokea SMS za login au OTP bila kuomba
β οΈ Intaneti yako inakwisha haraka hata bila matumizi makubwa
β οΈ Simu inapata joto isivyo kawaida ukiwasha hotspot
β οΈ Unapokea SMS za login au OTP bila kuomba
π‘οΈ 5. Njia za kujilinda
β Weka password ndefu na ngumu (epuka β12345678β)
β Tumia WPA2 au WPA3 encryption β si βopenβ hotspot
β Zima hotspot mara baada ya matumizi
β Weka password ndefu na ngumu (epuka β12345678β)
β Tumia WPA2 au WPA3 encryption β si βopenβ hotspot
β Zima hotspot mara baada ya matumizi
β
Weka limit ya connections β kwa mfano max 1 device
β Usiruhusu mtu asiyeaminika hata kwa dakika 2
β Kagua mara kwa mara list ya devices zilizowahi kuunganishwa
β Usiruhusu mtu asiyeaminika hata kwa dakika 2
β Kagua mara kwa mara list ya devices zilizowahi kuunganishwa
Baadhi ya simu mpya kama za Samsung, Xiaomi na Pixel zinakuwezesha kuweka Guest Hotspot:
Ina password tofauti
Ina speed limit
Ina muda maalum wa connection
Hii ni bora sana kuliko kutoa hotspot yako ya kawaida.
Ina password tofauti
Ina speed limit
Ina muda maalum wa connection
Hii ni bora sana kuliko kutoa hotspot yako ya kawaida.
γ½οΈ Teknolojia
π¨ XIAOMI REDMI (Brand new) π₯
βͺοΈRedmi A5 (3+64) - 250K
βͺοΈRedmi A5 (4+128) - 280K
βͺοΈRedmi 14C (4+128) - 300K
βͺοΈRedmi 14C (8+256) - 350K
βͺοΈNote 13 (6+128) - 450K
βͺοΈNote 13 (8+256) - 530K
βͺοΈNote 13 Pro 4G (8+256) - 680K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
βͺοΈRedmi Note 14 (6+128) - 480K
βͺοΈRedmi Note 14 (8+256) - 580K
βͺοΈRedmi Note 14 5G (8+256) - 700K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)

@Huduma
π¨Baada ya Samsung kuzindua Samsung z fold 7 na tukisubiri toleo la Google pixel 10 pro fold.
Vivo nao hawapo mbali, Vivo wapo mbioni kuzindua Vivo x Fold5. Hii ni baada ya mafanikio ya vivo x Fold 3 series.

π¨Kushoto Vivo X200FE kulia vivo x Fold5
Zote zimezinduliwa rasmi leo huko India
Unawapa ngapi kampuni ya vivo
/10
π₯π₯
π¨Kushoto Vivo X200FE kulia vivo x Fold5
Zote zimezinduliwa rasmi leo huko India
Unawapa ngapi kampuni ya vivo
/10
π₯π₯
Njia za Kinga Mbele:
Usitumie apps nje ya Play Store
Backup kabla ya system update
Usizime simu wakati ina-update
Usi-root kama huelewi unachofanya
Hakikisha simu ina space ya kutosha kabla ya OTA update
Usitumie apps nje ya Play Store
Backup kabla ya system update
Usizime simu wakati ina-update
Usi-root kama huelewi unachofanya
Hakikisha simu ina space ya kutosha kabla ya OTA update
5. Hatari ya Kuendelea Kulazimisha Boot:
β Inaweza kuharibu eMMC/eUFS storage
β Inaongeza joto β husababisha battery swelling
β Inapunguza lifespan ya simu yako
β Inaweza kuharibu eMMC/eUFS storage
β Inaongeza joto β husababisha battery swelling
β Inapunguza lifespan ya simu yako
Ku-root simu vibaya
Kuweka custom ROM bila kufuata taratibu
Power off wakati inafanya update
Kuweka custom ROM bila kufuata taratibu
Power off wakati inafanya update
7. Kama Hataki Kufunguka Kabisa:
Hii ni ngumu kidogo:
Unahitaji flashing tool (kama SP Flash Tool au Mi Flash)
Lazima uwe na firmware sahihi ya simu yako
Hii inafanywa kwenye PC β au peleka kwa fundi mzoefu wa software
Hii ni ngumu kidogo:
Unahitaji flashing tool (kama SP Flash Tool au Mi Flash)
Lazima uwe na firmware sahihi ya simu yako
Hii inafanywa kwenye PC β au peleka kwa fundi mzoefu wa software
3. Nini Husababisha OS Corruption?
π Hizi ndizo sababu kuu:
Kuweka apps za ajabu kutoka nje ya Play Store (APK zenye malware)
Kupakua system update isiyo rasmi
π Hizi ndizo sababu kuu:
Kuweka apps za ajabu kutoka nje ya Play Store (APK zenye malware)
Kupakua system update isiyo rasmi
4. Njia za Haraka za Kutatua:
β Step 1: Safe Mode Boot
Inazuia third-party apps ku-load
Hold power button > Hold "Power Off" > Chagua βSafe Modeβ
Kama simu inafunguka salama, tatizo ni apps tu
β Step 1: Safe Mode Boot
Inazuia third-party apps ku-load
Hold power button > Hold "Power Off" > Chagua βSafe Modeβ
Kama simu inafunguka salama, tatizo ni apps tu
β
Step 2: Clear Cache Partition
Boot kwenye recovery mode:
(Volume Up + Power kwa muda)
Chagua: Wipe Cache Partition
Haim-delete data zako
Boot kwenye recovery mode:
(Volume Up + Power kwa muda)
Chagua: Wipe Cache Partition
Haim-delete data zako
π Bootloop na OS corruption si mwisho wa simu yako β lakini ni warning ya kwamba kuna kitu kibaya kilitokea kwenye mfumo.
Jitahidi kujifunza kufunga updates rasmi, usibadili system files bila sababu, na backup data zako mara kwa mara.
Jitahidi kujifunza kufunga updates rasmi, usibadili system files bila sababu, na backup data zako mara kwa mara.
β
Step 3: Factory Reset (Mwisho Kabisa)
Recovery Mode > Wipe data/factory reset
Inafuta kila kitu β tumia kama suluhisho la mwisho
Recovery Mode > Wipe data/factory reset
Inafuta kila kitu β tumia kama suluhisho la mwisho