@Huduma
๐ก TECNO AI
Amekuja na Akili bandia anaitwa ELLA ambayo ina nguvu ya Deepseek, Gemini na chatGpt kwa kuweza kukusaidia na kurahisisha mawasiliano.
kwa kuediti picha zako, kubadili documents kuwa ujumbe, kurekebisha picha zako kwa kuondoa kitu usichokitaka.

๐ Ili kusherehekea uzinduzi huo, kila ukinunua SPARK 40 Series unapata siku 180 za kustream Poaflix na warranty ya miaka miwili bure.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จ Mtu akikuazima simu yako umekwisha
WhatsApp walileta hii feature ili kuwasaidia watu wanaohitaji kujibiwa messages zao na watu waliowaunganishia linked devices.
Lakini siku hizi baadhi wanatumia upenyo huu kuingilia kwa siri mawasiliano ya wapenzi wao ๐

5. Simu zingine zenye AI Button 2025?
โ Infinix HOT 60 5G+
โ TECNO Camon 30 Premier
โ Xiaomi Redmi AI Series
โ Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
โ Infinix HOT 60 5G+
โ TECNO Camon 30 Premier
โ Xiaomi Redmi AI Series
โ Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
4. Kwa nini ni muhimu 2025?
โก๏ธ Simu zimekuwa smart sana, apps zimejaa.
โก๏ธ Watu hawataki kupoteza muda kufungua app moja moja.
โก๏ธ AI button inarahisisha kila kitu kwa bonyeza moja tu.

๐จKWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON ๐ NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?
Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!
๐งต๐

โ
Kuchukua notes kwa sauti (voice-to-text)
โ Kufungua app unayotumia sana
โ AI assistant โ kama Google Gemini au ChatGPT Mini

2. Mfano hai โ HOT 60 5G+
Infinix wameita hii feature mpya:
๐ โOne-Tap AI Buttonโ
Infinix wameita hii feature mpya:
๐ โOne-Tap AI Buttonโ
3. Inafanya kazi gani?
Hii button inaweza kusaidia:
โ Kufungua camera ya AI moja kwa moja
โ Kutafsiri (translate) haraka messages
Hii button inaweza kusaidia:
โ Kufungua camera ya AI moja kwa moja
โ Kutafsiri (translate) haraka messages
1. AI Button ni nini?
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu โ kama Infinix HOT 60 5G+ โ kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).
Ni kama shortcut, lakini yenye akili ๐คฏ

๐ Infinix Hot 60 5G+ inakuja na One-Tap AI Button
Imewekwa chini ya volume na power button. Inaitwa โsmart and seamless shortcutโ โ shortcut ya kisasa isiyo na usumbufu.
Unapogusa, AI Assistant inafunguka instantly.