Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
💰 8. Hidden Costs:

Insurance ya shipping

Return shipping kama kuna defect

Clearing agent fees

Gharama hizi mara nyingi hazionekani kwenye bei ya awali.
📃 3. Duty & Taxes (Kodi):
Simu inapoingia Tanzania, inaweza kushikiliwa na TRA hadi ulipe kodi.

Makadirio ya gharama za import:

Duty ~ 0-25%

VAT 18%

Clearance fees

Bei unayoona online ≠ Bei utakayolipa mwisho!
📱 5. Model za China Specific:
Baadhi ya simu (hasa Xiaomi, Huawei, n.k.) huwa ni China ROM only

Hazi-support Google Services (GMS)

Play Store haipo

Apps nyingi za Google hazifanyi kazi

Angalia “Global Version” au “International Version” kama unataka usability ya kawaida.
🔑 7. Lock Status:

Angalia kama simu ni Factory Unlocked

Usinunue “Carrier Locked Phones” kama umetoka US (eg: AT&T, Verizon etc) – zinaweza zisifanye kazi hapa Tanzania.
10. Hakikisha Before Checkout:
✔️ Network Compatibility
✔️ Model Version (Global/China)
✔️ Warranty Terms
✔️ Shipping Method
✔️ Total Cost inc. Taxes
✔️ Seller Reputation

Hizi hatua zitakuokoa stress, hasara na kusubiri kwa miezi bure.
Kununua simu kutoka nje kunaweza kukuokoa pesa, lakini bila tahadhari unaweza kuishia kupata hasara kubwa zaidi.
🛑 9. Avoid Too Good to Be True Deals:

Simu za bei ya ajabu sana huwa fake / refurbished / clone

Soma reviews za seller kabla hujanunua

Angalia ratings, feedback na history ya muuzaji
🚚 6. Shipping Method:
Chagua shipping method inayoaminika:

AliExpress Standard Shipping

DHL / FedEx / Aramex

Usichague “Free shipping” tu bila kujua ETA (Estimated Time of Arrival) – unaweza kusubiri zaidi ya mwezi.
🔋 2. Voltage na Charger Compatibility:
Simu nyingi kutoka Asia au Marekani zinakuja na plug tofauti (US / EU / UK plug)

Hakikisha:

Charger yake ni compatible na 220-240V (standard ya Tanzania)

Au jiandae kutumia adapter
🛠️ 4. Warranty na After Sales Service:

Simu nyingi kutoka nje hazina warranty Tanzania

Kama ikiharibika, huduma ya matengenezo itakuwa kwa gharama zako

Angalia kama brand ina authorized service center hapa Tanzania


💨 Fanya research na mikoa mingine pia utagundua hiyo issue iko kila sehemu

Kuna sababu nyingi moja wapo ni bahati mbaya ya kuishi na mwanamke anayeamini kwenye ushirikina yeye hufikiria kuangamiza sauti ya Mwanaume ndani ya nyumba ili awe huru.
︎ Teknolojia

💨JBL GO4🔥🔥🔥

▪️Original product

💥Price: 190,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu yako inajuaje uko wapi? 😱 Angalia jinsi GPS inavyoongea na anga kwa kasi ya mwanga!🚀📡
Mfano:

Samsung Super Fast Charging: 45W

Xiaomi HyperCharge: 67W - 120W

Infinix All-Round FastCharge: 45W - 68W