Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Je, unaweza kutumia Super Fast Charger kwenye simu yoyote?
Hapana❗️

Simu yako lazima iwe na hardware support ya Super Fast Charging.
Kama simu yako inapokea max 25W, hata ununue charger ya 100W, bado itachaji kwa 25W tu.
Kwa kifupi:

Fast Charging = Kasi ya kawaida ya haraka
Super Fast Charging = Kasi ya juu zaidi, inahitaji vifaa maalum na simu yenye uwezo huo

Kabla hujanunua charger yoyote → Angalia maximum charging wattage ya simu yako
Tofauti Kuu kati ya hizi mbili ni hizi:

Kasi ya kuchaji:
Super Fast Charging ni mara mbili au tatu haraka zaidi kuliko Fast Charging ya kawaida.
👉 Nini maana ya Super Fast Charging?
Super Fast Charging ni step ya juu zaidi.
Hapa power delivery huwa kubwa zaidi (kuanzia 40W, 50W, hadi 100W+ kwa baadhi ya models)
Jambo la kuzingatia:
Daima tumia original charger au certified charger.

Fake fast chargers zinaweza kuharibu battery yako, au kuleta moto.
Muda wa kuchaji:
Fast Charging inaweza kuchukua zaidi ya saa moja hadi simu ijaze.

Super Fast Charging inaweza kujaza ndani ya dakika 20 hadi 45 kutegemea na capacity ya battery.
Super Fast Charging ni hatari kwa battery?
Kwa simu za kisasa: Hapana.
Brands kubwa zinatumia teknolojia ya:

Smart Temperature Control

Adaptive Charging

Battery Health Protection
Hitaji la vifaa maalum:
Super Fast Charging inahitaji charger na cable maalum zilizotengenezwa kwa power hiyo kubwa.
Lakini:
Usitumie fake chargers
Usichaji simu usiku kucha bila sababu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Kupitia vudeo za AI (VEO 3)
🚀 Umewahi kusikia kuhusu VEO 3? Hii ni teknolojia mpya ya AI inayotengeneza video za ajabu — na watu tayari wanatengeneza pesa nyingi kwa kuzitumia kwenye mitandao kama YouTube, TikTok na Instagram!
Tofauti Kuu kati ya Global na China Version:

Google Services:

Global: Ipo tayari

China: Hakuna (unahitaji kuinstall manually)
Inakuwa na multi-language support (Kiswahili, English, French n.k)

Network bands zake zinaendana na mitandao mingi duniani (Tanzania included).
Global Version ni nini?

Simu iliyotengenezwa kwa ajili ya masoko ya nje ya China (Ulaya, Africa, India n.k)

Inakuja na Google Services zote zikiwa tayari installed (Play Store, Gmail, YouTube n.k)
Inakuja na lugha za Kichina na English tu

Network bands mara nyingine hazi-support 4G/5G vizuri kwenye baadhi ya mitandao nje ya China

Kuna apps nyingi za China ambazo haziwezi kufutwa.
︎ Teknolojia

📱:

💨 TOFAUTI KATI YA GLOBAL VERSION NA CHINA VERSION YA SIMU.
(Mfano: Xiaomi, OnePlus, n.k)

Kama umewahi kuagiza simu kutoka nje (AliExpress, Amazon n.k) au umeambiwa kuna "China Version" na "Global Version"...

Leo naeleza tofauti kubwa kati ya hizi mbili.

Shuka🧵🧵👇
China Version ni nini?

Simu iliyotengenezwa kwa soko la China

Mara nyingi haina Google Services (Play Store unalazimika kuinstall mwenyewe)
︎ Teknolojia

💨 Bila mwanga Baada ya Mwanga
︎ Teknolojia

💨Redmi Note 14 pro 4G 🔥🔥

Storage: 256GB ROM + 8GB RAM

💥 Price: 700,000 Tsh

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kutengeneza Movie kwa Ai : Filamu kwa kutumia Veo 3 AI
Kutengeneza Movie kwa kutumia Simu na AI ya Google Veo 3.