Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Huyu ni mimi siwezi nunua kitu bila sababu ya ulazima.
@Huduma

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -420K
β–ͺ️A16 (6+128) - 450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.15M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hizi setup za camera saivi wamebaki Samsung pixel na iphone pekee
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Mnazisikia sound zao jamani?mnazisikia lakini?...haya ngoja tuendelee na mashoka na maghogho . πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Mbeya safe arrival πŸ™πŸ™Tukutane ofisini Nipo mwenyewe
Njia hizo ni salama na rahisi kwa kukurahisishia muda kuweza kuhamisha taarifa Mbalimbali kama vile calls logs (ulizopigiwa au kupiga) , message zako zote Toka simu ya zamani kwenda mpya ikiwa unahitaji sms zako muhimu kwenye simu mpya.

@Bongotech255
@Huduma

⚑ Android User
Sasa hapa kwa ujumla watumiaji wa simu za Android hata Mimi uwa natumia sana njia hii ambapo Kuna app inaitwa "SMS BACKUP & RESTORE" ni nzuri sana.....
@Huduma

πŸ’‘ Samsung User
Ukihitaji kuhamisha message Toka simu moja kwenda nyingine unaweza tumia app inaitwa "Smart Switch" ni app nzuri ya kukusaidia kuhamisha message zilizopo kwenye chati Yani normal Text kwenda simu nyingine bila kupoteza hata moja kwa kuchagua unatuma au unapokea.
Tumia njia nyingine ya text forward utaweza kuweka On kwenye simu ya zamani kuweza kuona sms kwenye simu yako kikubwa zaidi tumia app inaitwa SMS BACKUP & RESTORE ndo nzuri.
@Huduma

kuweza kuhamisha calls zako πŸ“ž, message Toka simu moja kwenda nyingine unachotakiwa ni kupakua hiyo app Toka Google plays store na kuanza kutumia Bure.
Inawezekana umenunua simu mpya na unataka kuhamisha message zako Toka simu moja kwenda nyingine unafanyaje ? Leo nawajuza kwa watumiaji wa simu za Android na iphone pia.
⚑ Iphone user
Kwa watumiaji wa iphone unaweza tumia njia ya iclouds backup kwa ku enable hii feature kwenye simu yako kuweza kuhamisha sms zako na call logs Toka simu ya zamani kwenda mpya.
@Huduma

πŸ’‘ Samsung User
Ukihitaji kuhamisha message Toka simu moja kwenda nyingine unaweza tumia app inaitwa "Smart Switch" ni app nzuri ya kukusaidia kuhamisha message zilizopo kwenye chati Yani normal Text kwenda simu nyingine bila kupoteza hata moja kwa kuchagua unatuma au unapokea.