Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.41K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
3️⃣ Input Port Types (USB-C, Micro USB, Lightning)
• USB-C ndiyo ya kisasa zaidi – na huwezesha fast input & output.
• Epuka powerbank zenye micro-USB tu, zimepitwa na wakati.
🔐 Bora kidogo lakini salama, kuliko bei rahisi yenye hatari.
💡 Kama unatumia simu yenye fast charging kama Infinix, Xiaomi, au Samsung — hii ni muhimu sana.
Hakikisha ina specs kama:
✓ Short Circuit Protection
✓ Overvoltage Protection
✓ Temperature Control
1️⃣ Capacity (mAh)
• Hii ndiyo inakuambia powerbank inaweza kuchaji mara ngapi.

Simu yako ina betri ya 5,000mAh?
Basi powerbank ya 10,000mAh inaweza kuchaji takribani mara 1.8–2.0.

Chagua kuanzia 10,000mAh hadi 20,000mAh kwa matumizi ya kawaida.
4️⃣ Safety Features (Overcharge, Overheat Protection)
• Powerbank bila kinga za usalama inaweza kuharibu simu yako.
Chagua yenye USB-C (na kama ina dual input/output ni bonasi!)
📌 BONUS: Features za Kisasa
• Wireless Charging
• Digital Display
• Built-in Cables
• PD (Power Delivery) & QC 3.0 support

Zinaongeza ubora na urahisi wa matumizi kwa dunia ya sasa.
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 REDMI NOTE 14 Series 💥

▪️Note 14 (6+128) - 480K
▪️Note 14 (8+256) - 550K
▪️Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
▪️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🆕 Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 26, iPadOS 26, na macOS Tahoe kwa developers wote

Imeweka mabadiliko makubwa zaidi ya 100, yakiwemo muundo mpya wa
- Liquid Glass,
- Menu bar mpya,
- Uboreshaji wa apps,
- Mwonekano mpya wa Spotlight kwenye Mac. 🍎
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🔋 5. Betri & Joto – Inatunza afya ya simu

Inacontroll betri vizuri kuliko Gen 2 – hata ukiitumia kwa gaming, joto halipandi sana.

Inaruhusu charging speeds hadi 120W kwa simu zinazounga mkono.
🚀 3. Performance – Kasi ya ajabu

CPU: Octa-core yenye mpangilio wa nguvu mpya:

1 core ya Prime (ultra fast) – kwa kazi nzito

5 cores za Performance

2 cores za Efficiency (kuokoa chaji)
🌐 6. Connectivity ya nguvu

5G Modem: Snapdragon X75

Kasi ya internet hadi 10Gbps (ikiwa mtandao unaruhusu)

WiFi 7, Bluetooth 5.4 – teknolojia mpya kabisa
> Hii ni chip yenye nguvu zaidi ya Snapdragon hadi sasa – ilizinduliwa mwishoni mwa 2023.
GPU – Adreno 750

Inacheza games za 3D kwa smooth kama kwenye PlayStation

Inasaidia ray tracing – teknolojia ya realistic lighting kwenye games
AI yake ni ya nguvu sana – inatumika hata kwa real-time translation, voice typing, smart reply, nk.