Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.41K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
⚙️ 2. “Gen 3” maana yake nini?

"Gen 3" ni kifupi cha Generation 3 – toleo la tatu la Snapdragon 8 series, ambayo ni kwa ajili ya flagship phones (simu za daraja la juu kama Galaxy S24, Xiaomi 14, OnePlus 12).
📸 4. Kamera & AI – Picha kali kuliko kawaida

Ina Cognitive ISP – AI inatambua vitu kama nyuso, anga, mwanga, nk. kabla hata picha haijapigwa.

Inasaidia 8K video recording, HDR, na night mode za ajabu.
@Huduma

💨 Oppo Find X8 Ultra 📸
🧠 1. Snapdragon ni nini?

Snapdragon ni jina la familia ya chipsets kutoka kampuni ya Qualcomm.

Chip hizi ndizo zinazowasha kila kitu kwenye simu – zinafanya kazi kama ubongo (CPU), akili ya picha (GPU), akili bandia (AI), na ku control network kama 5G, WiFi, GPS, nk.
TubePesa, Dollartub - kulipwa kwa kungalia Video? UKWELI NI HUU
Vinei TV
︎ Teknolojia

TubePesa, Dollartub - kulipwa kwa kungalia Video? UKWELI NI HUU

💾 Size: 0.93 MB
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

MAMBO MAPYA KWENYE IOS 26 FULL REVIEW KWENYE YOUTUBE YA SIMUKITAA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Amaizing Whatsap features ambazo watu wengi hawazijui
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Cooking podcast sessions in Dubai is very expensive lazima uwe na moyo😂😂
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umewahi kujiuliza ni kwa nini simu yako haifunguki kwa kidole cha mtu mwingine? 🧐 Teknolojia ya fingerprint sensor hutambua mistari ya kipekee kwenye kidole chako – na inakumbuka hadi kwa usahihi wa ajabu! Fahamu jinsi capacitive, optical, na ultrasonic sensors zinavyofanya kazi kuilinda simu yako kila siku. 🔒📲
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Wote wanaofanya Forex shuleni pia vichwa vyao vilikuwa active.

Kipengele chao ni kuwaona wasiotrade ni mambumbu, hawajielewi, wamechelewa sana, hawawezi kufanikiwa kuwaliko wao.
1
Jifunze Jinsi ya Kutengeneza Video hizi za AI , kiurahisi sana
Vinei TV
︎ Teknolojia

Jifunze Jinsi ya Kutengeneza Video hizi za AI , kiurahisi sana

💾 Size: 4.47 MB
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Mfano:
🟢 Adreno 750 kwenye Antutu itashinda Mali-G57 ya simu za bajeti.