Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Hizo nyaya ukizisogelea karibu bila hata kuzigusa flani zinakupiga shot ya Israeli.
︎ Teknolojia

💨Matambo🔥🔥
💨Leo twende na hii prompt
Weka picha yako chatGPT andika hivi

"Make this person look like a 3 year old child, keeping the same background"

Weka kwa comment tucheke
5. Mini-LED – 💡 Fusion ya teknolojia

Hii ni LED yenye backlight ndogo ndogo sana kwa ajili ya local dimming ya kiwango cha juu.
🔸 Brightness ya juu sana – ideal kwa vyumba vyenye mwanga
🔸 Rangi ni saturated na consistent
🔸 Hudumu muda mrefu
4. OLED (Organic LED) – 👑 King wa contrast

🎥 Teknolojia ya kisasa ambapo kila pixel inajiwasha yenyewe – haina backlight.
Best balance ya ubora na affordability
Haitoi blacks kama OLED 100%, lakini iko karibu sana
🔸 Inakaribia ubora wa OLED kwa contrast
🔸 Brightness ya hali ya juu
🔸 Imepunguza shida ya burn-in
Bora kwa sports, TV mchana, gaming
Blacks si perfect – kuna leakage ya light
Ideal kwa movie lovers, home cinema
Bei ni juu, kuna risk ndogo ya burn-in
👉 Kabla hujanunua, jiulize:

Unatumia TV saa ngapi kwa siku?

Ni matumizi ya familia au ya content creation?

Bajeti yako ni kiasi gani?
💡 Ni ipi ununue?

📍 Ukiangalia movie kwenye giza: OLED
📍 Kwa familia & michezo mchana: QLED / Mini-LED
📍 Budget ndogo: LED au LCD
🔹 Blacks ni perfect – hakuna light leakage kabisa
🔹 Rangi ni natural, contrast ni ya kipekee
🔹 Viewing angle ni kubwa – hata ukiangalia pembeni picha haipotei
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Hii apa ni comparison ya zoom ya vivo X200 ultra vs Huawei pura 80 ultra.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Temporally post on JBL speakers ,,Hizi tunaleta dukani models zote stay tuned cc @blax_store175_ @blax_phonestore
2️⃣ Output Power (Wattage – 18W, 22.5W, 65W, etc)
• Output ya chini = kuchaji polepole
• Chagua powerbank yenye Fast Charging Support (angalau 18W au zaidi)
5️⃣ Brand & Certification
• Epuka powerbank feki – huonyesha 20,000mAh lakini ndani ni 5,000mAh.
• Chagua brands kama:
Anker, Baseus, Xiaomi, Oraimo, UGREEN, AUKEY, Remax.

🛡️ Angalia pia iwe na CE/FCC/RoHS certifications.