Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨Infinix G30 Pro 5G simu hii itaanza kuuzwa uko India kuanzia 12/06

Hapa infinix wamekuja kivingine kabisa

Specification zake

▪️ 6.78 AMOLED LTPS 1.5K 144Hz screen, 4500nits peak brightness
▪️ Dimensity 8350U
▪️ 256GB UFS 4.0 storage
▪️ 5500mAh battery | 45W wired charging
▪️ 30W wireless
▪️ 108MP main + 8MP UW
▪️ 2 + 3 years
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🇪🇺📱𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝘃𝘀 𝗘𝗨📱🇪🇺

EU inataka Apple ifungue AirDrop kwa watengenezaji wengine mfano watumiaji wa Android, Windows n.k, ikidai kuwa kuizuia kwa vifaa vya Apple tu ni ushindani usio wa haki

Apple imekata rufaa na inaweza kuiondoa AirDrop kwenye iPhones za EU
➡️ Hii ndiyo hufanya iwezekane kuitrace hata ikiwa mbali na simu yako!
1. Trackers ni nini?
Hizi ni devices ndogo unazoweka kwenye vitu kama funguo, begi, au hata kwenye kava la simu yako – zikusaidie kuvipata endapo vitapotea au kuibwa.

🎯 Zinafanya kazi kwa kutumia Bluetooth + network ya watumiaji wengine.
🛰️ Ukiibiwa au kusahau AirTag mahali popote, iPhone yoyote inayopita karibu huipokea location (kimya kimya) na kuituma kwako.

📍 Location huonekana kwenye Find My app – na ni wewe pekee unayeiona
8. Vikwazo ni vipi?
⚠️ AirTag haifanyi kazi vizuri kwenye Android
⚠️ Sio real-time GPS, lakini location hu-update mara tu tag ikikutana na device nyingine
⚠️ Usizitumie vibaya kufuatilia watu – ni kinyume cha sheria!
︎ Teknolojia

. AirTag – (Apple)
AirTag inatumia Find My Network ya mamilioni ya vifaa vya Apple duniani.
6. Unawezaje kuitumia kulinda simu au begi lako?
Weka tracker (AirTag, Tile Slim, au SmartTag) ndani ya begi au kwenye kava la simu
Ikiibwa au kusahaulika, unaweza kuipata location hata ikiwa mbali sana
Separation alerts zitakutahadharisha unapojisogeza mbali nayo
💡 Iwe Android au iOS — wote ni contributors wa “location crowd”.
7. Features nyingine muhimu
🔊 Trackers zinaweza kulia (sound alert)

🧭 Zingine zina direction compass

📱 Zingine hutoa notification ukiondoka bila kifaa chako

📡 Na zote hufanya kazi hata bila GPS kwenye tag yenyewe
2. Bluetooth inatosha kweli?
➡️ Hapana! Bluetooth ina range ya takriban 10–100m tu kulingana na mazingira.

Swali ni: kama simu au begi lako lipo mbali kama mita 500 au 2,000 — unalitrazaje? 🤔
➡️ Jibu ni: Crowd-sourced tracking network 💡
︎ Teknolojia

. SmartTag – (Samsung)
SmartTag inafanya kazi sawa lakini kwa kupitia SmartThings Find.

📱 Simu yoyote ya Samsung Galaxy iliyo karibu na tag yako itaiscan kupitia background na location hutumwa kwenye account yako ya Samsung.
︎ Teknolojia

. Tile – (Android & iPhone)
Tile inategemea app yake: Tile Network.
Simu yoyote yenye Tile app ikipita karibu na Tile yako → location inaenda kwenye Tile servers → na inakufikia wewe.
9. Kwa nini uweke tracker kwenye simu au begi lako?
✔️ Simu ikiibwa na kuzimwa – tracker bado inaweza kutuma location kupitia crowd
✔️ Unaweza kurudisha begi au laptop yako kirahisi
✔️ Ni "insurance" dhidi ya hasara ya kupoteza vifaa muhimu
Je, ungetaka kutumia ipi kati ya hizi: AirTag, SmartTag au Tile?
👇 Tuambie kwenye comments!
@Huduma

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)