@Huduma
๐จ Hizi Sony Xperia 10 iv unapata used za dubai clean kabisa kwa bei nzuri na specifications za ushindi
(6GB RAM, 128GB ROM) - 270,000
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757

๐ฐ๏ธ Starlink imeanza kufanya kazi Congo (DRC) ๐จ๐ฉ https://twitter.com/Starlink/status/1929936568355360848#m
ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จ Huu mtandao una wajasiriamali wengi tena vijana wadogo waliomaliza vyuo na kukosa ajira ya yale waliyofundishwa chuoni na kuamua kujiongeza humu mtandaoni walau wajipatie kipato cha kupunguza umaskini.
Sasa mmefunga huu mtandao sababu ni "maudhui ya ngono" ni vyema mkapima kwa ujumla ni kina nani wanaopata madhara zaidi.
Na bado mchokozi kakushikia panga shingoni anakulazimisha umuite yeye mchokozi na ukimuita anakuchinja.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จMmeona hii Google Flow feature inavyofanya kazi
Naona hata zile animation video huko mbele zitapata upinzani mkali sana
Cheki video jamaa akifufuka

๐จ OFFER SAMSUNG A SERIES
โช๏ธA05 (4+64) - 250K
โช๏ธA06 (4+64) - 300K
โช๏ธA06 (4+128) - 330K
โช๏ธA05s (4+128) - 350K
โช๏ธA16 (4+128) -450K
โช๏ธA16 (8+256) - 580K
โช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
๐จ OFFER SAMSUNG A SERIES
โช๏ธA05 (4+64) - 250K
โช๏ธA06 (4+64) - 300K
โช๏ธA06 (4+128) - 330K
โช๏ธA05s (4+128) - 350K
โช๏ธA16 (4+128) -450K
โช๏ธA16 (8+256) - 580K
โช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จBaada ya simu za iOS kuweza kupokea adobe Photoshop beta mwanzoni kabisa mwa mwaka sasa wale wa android mmefikiwa.
Kwa sasa pia simu za android nazo zinauwezo wa kupokea Adobe Photoshop beta ambayo inafanya kazi kama kwenye computer.
Vigezo simu inapaswa kuwa na android 11 na 6GB RAM.
โช๏ธSource: GSMArena
๐จBaada ya simu za iOS kuweza kupokea adobe Photoshop beta mwanzoni kabisa mwa mwaka sasa wale wa android mmefikiwa.
Kwa sasa pia simu za android nazo zinauwezo wa kupokea Adobe Photoshop beta ambayo inafanya kazi kama kwenye computer.
Vigezo simu inapaswa kuwa na android 11 na 6GB RAM.
โช๏ธSource: GSMArena
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐ Samsung imeanza kuonyesha trailer ya simu yake mpya ya Galaxy Fold7 Ultra.
Itakuwa ni nyembamba zaidi na kamera yake itakuwa ni kubwa.
Simu hii itatoka pamoja na simu ya Galaxy Z Fold 7 na Z Flip 7 mwanzo wa mwezi July.
Itakuwa ni nyembamba zaidi na kamera yake itakuwa ni kubwa.
Simu hii itatoka pamoja na simu ya Galaxy Z Fold 7 na Z Flip 7 mwanzo wa mwezi July.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Umeme unatoka kwa maji... lakini ukimwaga maji kwenye socket inaripuka!? ๐ณ๐ฅ Hii ni sayansi au uchawi? Angalia hadi mwisho ujue ukweli wa hii mystery! ๐คฏ

Theft Detection Lock ni nini?
Ni teknolojia mpya ndani ya Android 15 inayotumia AI kutambua harakati za wizi, mfano:
Simu ikinyakuliwa ghafla.
Ikitolewa kwa kasi mfukoni/mkono.
Ikitoka eneo la Wi-Fi ulilozoeleka kwa njia ya kushangaza.

๐จJE UMESIKIA KUHUSU ANDROID 15?๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅถ
Android 15 inakuja na Anti-Theft Detection
Hii ndiyo feature unayopaswa kuijua mapemaโ ๐ก๏ธ๐ฑ
Shuka๐งต๐งต๐
Usiache ๐ ufike mbali

Kwa kifupi, Android 15 =
โ AI-smart theft detection
โ Lock bila internet
โ Blocked factory reset
โ Folder binafsi kwa usalama wako
Huu ni msasa wa kisasa kwa kila mtumiaji wa Android anayejali faragha na usalama.