Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Kama uliwahi kuiwasha Find My Device/iPhone, kuna chance ya kuipata.

Kama haukufanya hivyo, lengo liwe kulinda data zako kwanza.
Kuzuia kuuzwa au kufutwa (Factory Reset Protection) – Simu ikiwa imefungwa kwa akaunti ya Google au iCloud, haiwezi kutumika hata ikifutwa. Hii hufanya wezi wengine wasivutiwe nayo.

Unaweza kuona mahali simu ilipo (kama GPS iko ON) – Hii ni njia pekee ya kujaribu kuifuatilia.
Usiache hii feature ikiwa OFF. Hii trick moja inaweza kuzuia madhara makubwa kama kufunguliwa kwa benki, Gmail, au social media zako.
Ukweli Kuhusu Kuipata Simu
Kama simu ipo ON, GPS iko ON, na ina intaneti, unaweza kuiona location yake kupitia:

Android: Find My Device

iPhone: iCloud - Find My iPhone
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨Kuna mahali nlisoma huenda bara la Africa ndiyo bara kubwa zaidi lakini kuna siri wameificha na kulifanya lionekane kuwa dogo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Baada ya Njiwa Flow sasa Google nao wameamua kuflow na Google Flow.

Google Flow ni Ai inayounganisha Imaginen na Gemin kugenerate video.
Project hii wame launch jana

Cheki video👇
︎ Teknolojia

💨 Tecno wameweka hili bango Kariakoo

Wiki iliyopita nilivyoenda Hospital kutibu jicho la kushoto ndio waliniendea maandishi kama haya nisome 😂😂
🆕 Instagram imefanya maboresho katika sehemu ya (DM), ikiwa ni pamoja na kuweka uwezo wa kutafsiri ujumbe wa sauti kuwa maandishi (transcription).

Pia, imeongeza muda wa ujumbe wa sauti kutoka dakika 1 hadi dakika 5.
🆕 Browser mpya ya Opera Neon ina uwezo wa kufanya coding za kutengeneza Website (tovuti) na Games
🆕 Google imefanya mabadiliko ya Search Bar Widget yake kwa watumiaji wa Android

Sasa hivi sehemu hizo zinabadilika kuendana mfumo wa settings za rangi ya simu (Material 3)

Unaweza kupanga shortcuts

Pia Google imeweka mwonekano wa round ya duara nje ya widget ya Search Bar.
🆕 Watumiaji wa iPad sasa wanaweza kupata app ya WhatsApp

Imechukua zaidi ya miaka 15 kwa WhatsApp kuweka app yake kwenye iPad
💨 Arusha haipiti siku kijana zaidi ya mmoja hajafariki kwa kifo cha kusababishwa either ajali au kupigwa.
@Huduma

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Umewahi jiuliza jinsi touch screen inavyojua unagusa wapi? 🤔 Leo tunavunja fumbo hilo kwa njia rahisi ya kisayansi! 📱
Simu inaweza kuwa na FHD lakini 120Hz – ina scroll vizuri lakini sio sharp kama QHD.