Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Kumbuka:
Google haipo kwa siri. Wewe ni bidhaa, si mteja tu. Taarifa zako ndizo bidhaa kuu. Chukua hatua kujilinda mapema.
4. Unaweza kudhibiti haya mambo. Hii hapa njia:

Fungua Settings โ†’ Google โ†’ Manage your Google Account
Nenda kwenye Data & Privacy

Chini ya โ€œHistory Settingsโ€, zimia:

Web & App Activity

Location History

YouTube History
Kwani Google haijali privacy yako?
Inajali โ€” lakini lazima ujue jinsi ya kudhibiti settings zako. Watumiaji wengi hawachukui hatua yoyote hadi matatizo yatokee.
โ€Œ

3. Nenda hapa kuona kile wanajua juu yako
โ†’ myactivity.google.com
Utaona kila unachotafuta, ulipoenda, na hata mazungumzo na Assistant. Inashtua kidogo!
Device Info & Voice Activity: Unaposema โ€œHey Googleโ€, kila kitu kinaweza kurekodiwa na kuhifadhiwa.
โ€Œ

6: Jihadhari na permissions za apps
Apps nyingi zinazotumia Google Account yako zinapata data nyingi sana โ€” location, contacts, messages, camera. Pitia Apps zinazoaccess account yako hapa:
โ†’

Futa zile usizozitumia.
Hivi ndivyo Google inavyokufuatilia:

Location History: Unaweza ukawa huna GPS ON, lakini bado Google inajua ulikuwa wapi.

Web & App Activity: Kila unachotafuta Google, kila video unayoangalia YouTube, hata ukifuta historia โ€“ bado inahifadhiwa.
โ€Œ

5: Delete activity yako ya zamani
โ†’ Nenda myactivity.google.com

Bonyeza โ€œDelete activity byโ€

Chagua โ€œAll timeโ€ โ†’ Delete.

Pia weka automatic deletion kila baada ya miezi 3 au 18.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Muonekano wa Nothing Phone 3

Unaupa ngapi ya 1-10
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kampuni ya Huawei ya kichina imeachia laptop mpya inaitwa Huawei Matebook Fold, ambapo kwa sasa inapatikana nchini China pekee. Laptop hii imekuja ikiwa na feature mbalimbali.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Huawei Matebook Fold Specs:

๐Ÿ’ป Kioo chake ni OLED display +7.3mm (0.3inch) ikiwa haijakunywa Wakati 14.99mm (0.6inch) inapokuwa imefungwa na kukunjwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—›๐˜‚๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ท๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Baada ya Kampuni ya Lenovo kuwa ya kwanza kutoa laptop Yenye uwezo wa kujikunja kunja (Foldable), Huawei nao wameleta Laptop yao

Threads ๐Ÿ‘‡
@Huduma

โšก Bado hawajasema kama kutakua na Uwezekano wa kuinstall Microsoft Windows na linux kwenye laptop zao.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi ๐Ÿ‘†

@Huawei @HuaweiMobile @huaweimobilekw @huaweitz
@Huduma

Ila Harmony Os kwa mara ya kwanza ilianza kutumika kwenye mfumo wa Android sasa unapatikana kwenye Windows.

๐Ÿ’ธ gharama yake ni dola $3,330
๐Ÿ’ฐ Tanzania gharama yake ni Tsh milioni 8.9M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Najua wengi tumeshazoea kuona Teknolojia hii kwenye simu kupitia Samsung Z flip , Fold na simu zinginezo ambazo zina muundo wa foldable, lakini Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye laptop.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kwa UFUPI:
โŒจ๏ธ Laptop hii haijaja na keyboard hivyo keyboard iko mule mule ndani ya kioo ukikikunja utaweza kuona keyboard na kuweza kutumia.

๐Ÿ’ก Huawei imetoa Toleo la Os kwenye Laptop zao baada ya kuomba Os ya Microsoft lakini wakakataliwa kutokana na vikwazo toka marekani.
@Huduma

โšก Laptop hii ina uzito mdogo sana 1.6kg sawa na chupa moja ya maji ya afya + 3.3k resolution inayotoa mwanga mpaka kufikia 1,600 units.

๐Ÿ—‚๏ธ Imekuja na Ram 32Gb + Storage ya 2TB

๐ŸชŸ Imekuja ikiwa na Os (Operating system) ya Huawei inayoitwa Harmony Os 5.