Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA (Non Active)💥

▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 7 (8+128) - 630K
▪️Pixel 7a (8+128) - 630K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
@Huduma

💨 Hawa Huawei huwezi tabiri ni kitu gani kipya watatuletea sokoni

Hii ni Huawei Pura 80 Ultra inakuja na Camera mbili za kuzoom (periscope) inakiwa ndiyo simu ya kwanza duniani.
Inashauriwa kuweka simu kwenye uso tambarare ili mtetemo ufanye kazi vizuri.
6. TUMIA CLOTH (kitambaa laini)

Kitambaa cha microfiber (kama cha kufuta miwani) kinafaa sana.

Kipanguse juu ya speaker, ukitumia vidole viwili kufanya mduara wa kusafisha.

Safi na salama!
APP ZILIZOBORESHA HII NJIA:

1. Speaker Cleaner – Remove Water (Android/iOS)

2. Speaker Cleaner - Fix Muffled Speaker

3. Clear Wave - Water Eject

4. Fix My Speakers (iOS web-based)
Fungua app, chagua "clean speaker" au "remove dust", weka volume juu, na uache simu icheze sound kwa dakika kadhaa.
USI...

Pulize kwa mdomo (mate yanaweza kuingia)

Tumie compressor kali sana (pressure kubwa inaweza kuharibu)
7. NENDA KWA FUNDI IKIWA...

Speaker haisikiki kabisa.

Baada ya kusafisha bado hakuna sauti.

Speaker imejaa maji kwa muda mrefu.

Fundi anaweza kufungua simu na kusafisha kwa ndani au kubadilisha speaker.
Simu yenye speaker safi inatoa sauti nzuri na haina maudhi. Hakikisha unasafisha angalau mara 2 kwa mwezi. Usisubiri hadi isikike vibaya ndipo uanze kusafisha.
5. TUMIA AIR BLOWER (au hand blower)

Tumia kifaa cha kupulizia hewa baridi (usitumie joto).

Pulizia kwa umbali wa cm 5–10 kwa muda mfupi.

Inasaidia kusukuma uchafu kutoka ndani nje.
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi 15S pro imezinduliwa wiki hii

Ni simu moja matata sana🔥🔥
Imenyooka
Chek specifications zake
Xiaomi 15s Pro specification

Display: 6.73" AMOLED, 1440×3200px

Camera: 50MP + 8K video (4320p)

Chip: Xring O1 + 16GB RAM

Battery: 6100mAh, 90W wired, 50W wireless
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

Share intaneti na rafiki yako kwa Bluetooth

Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share intaneti kwa kutumia Bluetooth.

Uzi ni wako shusha handle chini 👇
💨 Tunasota kinoma internet inakata kichizi tunashindwa kufanya mambo ya maana.
Tumia apps kama:

Universal Android Debloater (UAD) – kwa adb

ADB AppControl – kwa PC

App Manager (IzzyOnDroid) – kuona background behavior
USHAURI WA KITAALAMU:

Zima permissions zisizohitajika

Futa apps zisizo muhimu

Dhibiti background activity

Backup data zako na update OS mara kwa mara.


9. Private DNS Setting

> Google DNS, ISP DNS au custom DNS inaweza kukurekodi silently.

Badilisha hapa:
Settings > Network & Internet > Private DNS > Use Private DNS

> Weka: dns.adguard.com au dns.cloudflare.com