Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 WhatsApp imeanza majaribio ya kuruhusu mtumiaji kuwa na uwezo wa ku-share Status ya mtu mwingine.

Ukiona status ya rafiki yako, utakuwa na uwezo wa kuipost (re-post) kwenye Status zako bila kulazimika kumuomba akutumie ili uweze kui-post au kuihifadhi.
3. Angalia Battery Health
→ Kama simu yako inazima ghafla au moto sana:
• Tumia AccuBattery (Android)
• iPhone: Settings > Battery > Battery Health

Battery chini ya 80% = ni dalili ya kuchoka.
8. Check Storage na RAM Usage
→ Simu ikisuasua, fungua:
Settings > Storage / RAM
→ Kama apps zinameza RAM au background apps ni nyingi, unaweza kuzifunga manually au tumia lighter apps.
5. Test Speaker, Mic na Vibration
→ Rekodi sauti, cheza audio, pika simu.
→ Kama sauti ni ndogo, chafu au haifanyi kazi:

Inaweza kuwa software issue au hardware kama IC/audio chip.
7. Test Sensors
→ Kama compass, light sensor au proximity sensor hazifanyi kazi, utaona kwenye apps kama Phone Doctor Plus.
→ Sensor mbovu = simu inaweza kuzimika ghafla au kuishiwa mwanga bila sababu.
Bonus Tip:
→ Kama hujui chanzo cha tatizo, fanya safe mode boot au factory reset (backup kwanza)
→ Kama bado simu inasumbua, ni hardware issue.
2. Tumia Apps Maalum za Diagnosis
→ Hizi zinakupa taarifa za kina sana:

• Phone Doctor Plus
• TestM Hardware
• AccuBattery – kwa battery health
• CPU-Z – specs na thermal info
• Device Info HW – full breakdown ya simu
9. Kagua Health ya OS
→ Fungua Developer Options (7x tap Build Number)
→ Cheki background processes, animations, CPU usage.
→ OS Corruption inaweza kuwa chanzo cha matatizo mengi ya simu.
4. Test Screen na Touch Sensitivity
→ Fungua white background au piga screenshot – cheki kama kuna sehemu zenye madoa au rangi isiyo ya kawaida.
→ Gusa kona zote: kama kuna sehemu hazijibu, touch sensor inaweza kuwa mbovu.
6. Angalia Network & SIM Problems
→ Settings > SIM > Network settings
• Kama line inakatika au data haishiki, chunguza:

Sim slot

APN settings

Band compatibility (hasa kwa imported phones)
︎ Teknolojia

💨Hawa wadau wamezidi sasa
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG GALAXY A55

▪️24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
▪️12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY

💥128GB. 900,000Tsh
💥256GB. 1,050,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💭 Satellite hiyo itaweza kusaidia Tanzania kuondokana na changamoto ya kutumia satellite za nchi jirani badala yake kuweza kutumia satellite yake mwenyewe katika kufuatilia maendeleo na usalama wa nchi kupitia satellite.
💡 Waziri silaa anasema serikali imeingia mikataba miwili;

mkataba wa kwanza ni mkataba wa Anga za juu wa mwaka 1967 ambao unaainisha kanuni zinazoongoza mataifa katika uchunguzi na Matumizi ya anga za juu.
︎ Teknolojia

💭 Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuweza kutia saini na shirika la anga za juu OTHE, kwa kujipanga kuweza kurusha satellite yake ya kwanza angani ili kusaidia katika mambo mbalimbali.
︎ Teknolojia

Hii ni lengo la Serikali ya Rais Dkt. Samia suluhu Hassan kuhakikisha kuwa Tanzania inakua

na satellite yake ilikusukuma mbele maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, usalama na Mawasiliano.
Hakika Serikali ya mama imepiga mwingi🔥
@SuluhuSamia
@JerrySilaa
︎ Teknolojia

💭 Taarifa hiyo iliweza kutolewa bungeni tarehe 16, Mei 2025, na Waziri wa Masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Jerry Silaa akiwasilisha bajeti ya mwaka 2025 / 2026 bungeni.
︎ Teknolojia

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗿𝘂𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗮𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝘁𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗮𝗶𝗻𝗶 𝗺𝗸𝗮𝘁𝗮𝗯𝗮

Hatimaye Serikali ya Tanzania yafanya jambo kubwa kuelekea mwaka 2026 🔥🔥🔥

Thread ni yako
︎ Teknolojia

Mkataba wa pili ni Mkataba kuhusu Usajili wa mwaka 1975 ambao unahusu usajili wa vitu vinavyorushwa kwenda anga za juu.
︎ Teknolojia

💨Asante mwanafamilia
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.