Bonus Tip:
Kwa Android, nenda Settings > Accounts > Google > Remove Account.
Kwa iPhone, nenda Settings > iCloud > Sign Out.
Usipofanya hivi, hata baada ya Reset, mtu mwingine ataweza kutumia simu yako!

γ½οΈ Teknolojia
π¨Je, Simu Yako Inaweza Kununuliwa Tena Bila Wewe Kujua?
Watu wengi huuza au kupoteza simu wakiamini wamefuta kila kitu... kumbe bado data zao zipo ndani.
Shukaπ§΅π
Usisahauπ

Hatua sahihi kabla ya kuuza/kutoa simu:
Futa backup zote (Google/iCloud)
Ondoa account zote kwenye simu
Fanya Factory Reset
Toa SIM card & SD card
Hakikisha imeboot hadi mwanzo kama simu mpya

Kosa kubwa:
Kufanya Factory Reset bila kuondoa akaunti zako (Google au Apple ID).
Simu huonekana kama bado ni mali yako, lakini data zinaweza kurejeshwa kirahisi.
Na ukishasahau password, kila kitu kinafunguka!

Watu wengi huuza simu zao bila kujua
vibaka au wanunuzi wa mitumba wanaweza kuirejesha na kutuma:
Picha zako
Meseji
Backup zako za WhatsApp
Akaunti zako za Google/iCloud

Usikubali taarifa zako zifutwe juu juu tu.
Simu ikitoka mikononi mwako, hakikisha imekuwa tupu kama mpya.
Simu ikitoka mikononi mwako, hakikisha imekuwa tupu kama mpya.
γ½οΈ Teknolojia
π¨ Leo usiku nilijigonga kwenye angle ya jiko nikatapika sana nimeamka asubuhi jicho moja halifunguki hofu yangu kubwa nasikia ukiwa chongo husuhusiwi kuendesha Subaru Forester TX 2013 new model ya Japan moja kwa moja.

Mungu ni mwema nimefika hospital nimewekewa maandishi makubwa, madogo na madogo zaidi niyasome kwa kutumia jicho hili lililo lizima automatic hili lenye jeraha nikafunguka lenyewe kwa namna fulani linaona ila blur kwa mbali.

π¨ JBL SPEAKER (Originalπ―)
βͺοΈJBL Go 3 - 145K
βͺοΈJBL Go 4 - 190K
βͺοΈJBL Flip6 - 300K
βͺοΈJBL Flip7 - 420K
βͺοΈJBL Charger5 - 450K
βͺοΈJBL Charger6 - 550K
βͺοΈJBL XTRME3 - 700K
βͺοΈJBL XTRME4 - 840K
πLikoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
π 0745100757
wa.me/+255745100757

π¨Asante kutuamini
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
Tunazidi kukufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana

2. Brightness & Colours
Original display ina brightness kali, contrast nzuri, na rangi halisi.
β Fake screen mara nyingi ina mwanga mdogo au rangi zilizofifia.

3. Viewing Angle
β Geuza simu pembeni, angalia kama picha inabadilika au kuwa blur.
Original huonyesha rangi vizuri hata kwa angle yoyote.
Fake hukosa clarity pembeni.

8. Imebadilishwa Bila Kujua?
β Angalia edges za screen β kama kuna tofauti kwenye glue, gap au dust, inaweza kuwa fake replacement.
β Mara nyingi mafundi wasiowaaminifu hubadilisha screen na kuuza original yako.

π¨JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO KAMA SCREEN YAKO NI ORIGINAL AU FAKE.
Soma hadi mwisho π§΅π
Usisahau π

7. Bei ya Kubadilisha Ilikuwaje?
β Kama uliambiwa ni original screen lakini bei ni ya chini sana β jua huenda uliwekewa fake.
Original screens ni ghali kwa sababu ya quality na durability.

4. Fingerprint Sensor Issues
Kama fingerprint haifanyi kazi vizuri baada ya kubadilisha screen,
β Huenda waliweka screen isiyo ya kiwango (low-quality copy).

9. Bonus Tip: Jua Screen ya Simu Yako Mapema
β Kabla ya kuharibika, google model yako + βdisplay typeβ (mf. AMOLED, IPS).
β Hii itakusaidia ukijua wanakudanganya au la.

1. Touch Sensitivity
Screen fake huwa na delay au inahitaji nguvu zaidi kubonyeza.
β Jaribu kuandika haraka au kupiga swipe β kama iko slow au inakosea, hiyo ni red flag.