π§βπ» γ½οΈ Teknolojia
π¨ XIAOMI MPYA β
βͺοΈRedmi A3x (3+64) - 230K
βͺοΈRedmi A3 (3+64) - 250K
βͺοΈRedmi 13C (8+256) - 359K
βͺοΈRedmi 14C (8+128) - 300K
βͺοΈRedmi 14C (12+128) - 350K
βͺοΈRedmi 14C (16+256) - 380K
βͺοΈNote 13 (8+128) - 450K
βͺοΈNote 13 (8+256) - 530K
βͺοΈNote 13 Pro (8+256) - 650K
βͺοΈNote 13 Pro 5G (8+256) - 780K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
βͺοΈNote 14 (8+256) - 600K
βͺοΈNote 14 5G (8+256) - 750K
βͺοΈNote 14 Pro 4G (8+256) - 800K
βͺοΈNote 14 Pro 5G (8+256) - 880K
βͺοΈNote 14 Pro+ 5G (8+256) -
π¨ XIAOMI MPYA β
βͺοΈRedmi A3x (3+64) - 230K
βͺοΈRedmi A3 (3+64) - 250K
βͺοΈRedmi 13C (8+256) - 359K
βͺοΈRedmi 14C (8+128) - 300K
βͺοΈRedmi 14C (12+128) - 350K
βͺοΈRedmi 14C (16+256) - 380K
βͺοΈNote 13 (8+128) - 450K
βͺοΈNote 13 (8+256) - 530K
βͺοΈNote 13 Pro (8+256) - 650K
βͺοΈNote 13 Pro 5G (8+256) - 780K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
βͺοΈNote 14 (8+256) - 600K
βͺοΈNote 14 5G (8+256) - 750K
βͺοΈNote 14 Pro 4G (8+256) - 800K
βͺοΈNote 14 Pro 5G (8+256) - 880K
βͺοΈNote 14 Pro+ 5G (8+256) -
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
π§βπ» γ½οΈ Teknolojia
Bei ya Samsung Galaxy A56 na Ubora wake
Hii ni video inayokufahamisha uwezo wa kisifa wa simu mpya ya Samsung Galaxy A56 na bei yake kwa hapa Tanzania. Hii ni simu yenye maboresho kiutendaji ambayo yamefafanuliwa kiufasaha na kiufupi, mpaka mwisho utapata sababu kubwa ya kimsingi kama inafaa kuitumia ama la

π¨ JIFUNZE NAMNA YA KUTOFAUTISHA LINK FAKE NA LINK ORIGINALπ‘οΈ
Phishing ni mbinu ya wadukuzi ya kukusanya taarifa zako kwa kutumia link bandia zinazofanana na zile za tovuti halali.
Kuelewa jinsi ya kuzitambua ni hatua muhimu ya kujilinda mtandaoni.
Shukaπ§΅π

π1
Kwanini Elon Musk Ameunganisha X (Twitter) Na Kampuni Yake Ya Akili Mnemba
π§βπ» π£ @Huduma π
Telegraph
Kwanini Elon Musk Ameunganisha X (Twitter) Na Kampuni Yake Ya Akili Mnemba
Wiki hii, dunia ya teknolojia imepata mshtuko mwingine kutoka kwa Elon Musk β bilionea anayependa kuvunja mipaka ya kawaida. Sasa, ameunganisha kampuni yake mpya ya akili mnemba iitwayo xAI na mtandao wa kijamii X (zamani Twitter). Kama unajiuliza, βKwa niniβ¦
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
π§βπ» γ½οΈ Teknolojia
Jinsi ya Kutengeneza na Kutumia Google Meet
π Google Meet: Jinsi ya Kuandaa Meeting na Join kuanza Kutumia | Fahamu features Zilizopoπ₯π΅
Je, unataka kujua jinsi ya kuunda na kutumia Google Meet kwa ajili ya mikutano yako ya mtandaoni? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya:
β Kuunda Google Meeting kwa haraka na urahisi
β Kutuma link ya mwaliko kwa washiriki
β Kutumia zana muhimu ndani ya Google Meet (kamera, maikrofoni, kushiriki skrini, n.k.)
β Kudhibiti na kuendesha mkutano