Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

UMESHAWAHI KUCHEZA GAME LA GOD OF WAR ??

Unajua Game la God of War mara ya Kwanza iliachiwa Mwaka Gani ? 😉

Threads ni yako Moja wapo ya Game pendwa ulimwenguni
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Ilikua Machi 22, 2005, Kampuni hiyo ya Santa wanasherekea miaka 20 ya God of War toka kuachiwa kwake mpaka leo hii.

Umeshawahi kucheza hii Game ? Je Game Gani ya God of War unaipenda ? Tuachie maoni yako?

Angalia video zake 🤝
︎ Teknolojia

💨Mmiliki wa hii kinywaji kufikia kesho atashtuka sana😂👇
︎ Teknolojia

Ilipoanzia cheki hizo impressions zimefika zaidi ya 500,000,000 kwa hapa X

Inashangaza sana
︎ Teknolojia

RT @raphyrodrick: Americans haswa content creators wanavikuza sana , 😂
@Huduma

💨Nani atauza sana wiki hii
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Chagua My Contacts Except... kisha weka tiki kwa wale wote usiotaka wakutumie mwaliko wa kujiunga na makundi. Hii itakupa control kamili!
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Hatua za Kufanya Hili:
1️⃣ Nenda kwenye Settings
2️⃣ Chagua Storage and Data
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

️⃣ Kwenda sehemu ya Media Auto-Download
4️⃣ Chagua Wi-Fi au Mobile Data kisha toa alama ya tiki kwenye picha, video na documents.

Hii itazuia WhatsApp kupakua media moja kwa moja, hasa kutoka kwenye groups usiyoyataka.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

RT @just_toksik: JAMVI LA JUMATATU

.link of the day👉🏽bit.ly/4ioChpQ

.codes of the day👉🏽EOX2GD0

.kampuni👉🏽@LeonBetTZ
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨 XIAOMI MPYA

▪️Redmi A3x (3+64) - 230K
▪️Redmi A3 (3+64) - 250K
▪️Redmi 13C (8+256) - 359K
▪️Redmi 14C (8+128) - 300K
▪️Redmi 14C (12+128) - 350K
▪️Redmi 14C (16+256) - 380K
▪️Note 13 (8+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro (8+256) - 650K
▪️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
▪️Note 14 (8+256) - 600K
▪️Note 14 5G (8+256) - 750K
▪️Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) -
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨Bado najiuliza huyu jamaa alipigwaje na Jason Statham
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Unataka Kujifunza Programming? Mambo 5 Yakuzingatia Unapoanza (Self made Programmer)
🚀 Jinsi ya Kujifunza Coding Haraka na Kuwa Mtaalamu💻🔥

Unataka kujifunza coding/programming lakini hujui wapi pa kuanzia? Hakuna tatizo! Katika video hii, nitakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuanza safari yako ya kuwa developer bila kuchanganyikiwa. 🎯

Utagundua:
✔️ Sababu muhimu za kujifunza programming.
✔️ Lugha bora ya kuanza nayo kama beginner.
✔️ Websites na rasilimali bora za kujifunza bure.
✔️ Jinsi y
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 05: Google pixel 9a
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨Hapa kuna simu 10 bora zilizotrend wiki 11.

Source: GSMArena

Rank 10: Realme P3 Ultra
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 03: Huawei pura X
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 08: Xiaomi Poco X7 pro