🧑💻 〽︎ Teknolojia
🔅 Aliweza kumnunua mbwa Huyo iliaweze kumfanya kuwa mbwa wa kipekee na kivutio nchini India. Hapo awali alitumia $3.25 milioni kununua Chow Chow adimu na ana zaidi ya mbwa 150.

🐺 Uzazi huu wa kipekee ukiwa na mchanganyiko wa mbwa jamii ya Wolf Dog na Caucasian Shepherd ambao haujawahi kuuzwa hapo awali.
Kuna mfugaji wa mbwa maarufu nchini India anaitwa Sathish ni mtu anayejulikana kwa kununua mifugo adimu ulimwenguni.

⭕ Mali za Sathish Kuna kwa ajili ya kufuga mbwa na timu iliyojitolea inayotunza mbwa wake wa thamani. Pia anapata hadi $2,800 kwa nusu saa kwa kuonyesha mifugo yake adimu.
Sio mchezo ulimwenguni vitu vingi ni fursa 🚀
Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali @Bongotech255

🚀 Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari.

HUYU NDO MBWA GHALI DUNIANI KULIKO ROLLS ROYCE YA DIAMOND PLATINUM 🐺
Hakika Dunia Ina mambo umeshawahi kuona Mbwa ana Thamani Kuliko Gari la Lamborghini ya Davido au Rolls Royce ya Diamond platnum 😏
Threads ni yako ⚡

⚡ Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi ulimwenguni baada ya kuuzwa nchini India kwa rekodi ya Dola $5.7 milioni

. Uchanganuzi wa Matumizi na Usalama
Android:
🔹Watu wengi huweka data nyingi, na matumizi ya memory ni muhimu kwa ajili ya kuwezesha matumizi ya huduma za cloud, applications za multimedia, na mipangilio mingi ya customization.